Nelly Kamwelu ambaye ni mshindi wa Miss Universe Tanzania 2011 (wa kwanza kushoto)ameingia katika 5 bora ya mashindano ya utalii ya Miss Tourism Queen International 2011/12 yaliyofanyika nchini China mji wa Xian. Nelly ameshika nafasi hiyo mbele ya warembo wengine 92 katika shindano hili ambalo ni la 5 kwa ukubwa duniani. Mshindi wa taji la Miss Tourism Queen International alikuwa Mrembo wa Thailand, mrembo wa Fernando de Noronha alishika nafasi ya pili, Belarus nafasi ya tatu na mrembo wa China ashika nafasi ya 4. Nelly anarejea nchini tarehe 29 na ndege na Emirates.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu nae kila siku anashindana. Last time alilalama ubaguzi. Bora ajivue gamba na ku retire.

    ReplyDelete
  2. Hongera Bi dada, japo mwanzo sikukujua. umefanana nao kweli utafikili na wewe ni wa huko, keep it up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...