Salam
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Miss Jestina Blog wanapenda kuwaalika wadau wote katika Party ya kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 jijini London siku ya Jumamosi tarehe 31.12.2011 ndani ya PIT STOP, Ripple Road 1G11 OSN kuanzia saa 10pm- 5am. Kiingilio ni Ł10.00 kabla ya saa sita usiku.
Karibuni wote tusherekee na kuukaribisha mwaka mpya 2012, Tafadhalimjulishe na mwenzako.
Asanteni,
Urban Pulse Creative na Miss Jestina Blog


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...