Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA Prof. Samuel Mwita Wangwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Teknolojia Mbadala ya Mwaka 2011 ambapo amehoji tunawezaje kupunguza umaskini katika kipindi hiki tunachokabiliwa na mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la Joto Duniani.Zaidi ya Asilimia 20 ya idadi ya watu Duniani ambao ni sawa na watu Bilioni 1.4 ambao hawana uwezo wa kupata Nishati hiyo wengi wao wakiwa wanaishi Kusini mwa Bara la Asia na Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA Prof. Samuel Mwita Wangwe akizindua TECHNOLOGY AND INNOVATION REPORT 2011 ambayo inazungumzia POWERING DEVELOPMENT WITH RENEWABLE ENERGY TECHNOLOGIES.Na kutoa msisitizo kwa Serikali kuzifanyia kazi ripoti zinazotolewa na wataalamu kwa manufaa ya Taifa kwa ujumla.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...