Promota Jack Pemba akiwa na marehemu Gary Speed (kulia) na baadhi ya wachezaji wa Newcastle United kabla ya mechi yao na Arsenal siku za hivi karibuni. Jack Pemba kaiambia Globu ya Jamii kwamba yeye na Gary speed walikuwa marafiki wakubwa na kwamba walishaanza mpango wa kuileta Tanzania timu ya Taifa ya Wales lakini mauti yamemfika kabla ya mpango huo kutekelezwa. Marehemu Gary Speed alikutwa amejinyonga nyumbani kwake Jumapili ya November 27, 2011 huko Huntington, Chester, Uingereza.
Home
Unlabelled
RIP GARY SPEED
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...