Home
Unlabelled
SEHEMU YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wanajeshi wetu tunawaona na tunawashangilia lakini wasiwe wanajeshi wa kunyanyasa raia baadhi ya sehemu kama kigamboni nk.
ReplyDeletewanajeshi wema ni wale wanaoweza kuilinda nchi yetu na raia wake
story ni idd amin tu hakuna nyingine swali je vita vya uganda vulituhusu au tulijihusisha?
asante ankali kwa kutuwekea video na picha.
mmh mkwara mzito hao wanajeshi wakishapata vyeo kidogo tu matumbo yatafika magotini badae hata kuinama hawezi
ReplyDeletekuwa na vifaa vingi vya kivita haimaanishi kuwa ndio mahodari wa vita......maneno rwanda hapo nchi ndogooo wakiamua wanaifuta bongo kwa siku 3 tu wale wanaume wa vita.
ReplyDeleteHAHAHAHAHAHAAAAA ANKALI BANA VIFAA VYA KAZI VIPO JE WAJE WANAUME ALSHABAB..????
ReplyDeleteupuuzi mtupu... pole yenu ninyi makuruta
ReplyDeletehahahahaha huo unaitwa mkwara soso,jamani mbavu zangu,upuuzi mtupu.
ReplyDeletestandard 7 wote hao
ReplyDeleteujinga mtupu hakuna cha maana hapa
ReplyDeletekama ukamandoo wa kuvunja vitofali vya udongo na kuruka hata hapa uswazi tunao vijana hao.
ReplyDeleteGhaddafi aliwahi kufanya maonesho zaidi ya haya, ya silaha za Libya. wakati wa kupigana asing'olewe hazikuonekana. Mantiki ya kuoneshana vitu hivi katika siku ya uhuru (ambao tuliuata bila mapigano) haipo, ukizingatia kuwa nyingi hatujatengeneza wenyewe na wanaozitengeneza sasa wanazo kali kuliko hizo.
ReplyDeleteMkwara huo ili tusiandamane .... tutaandamana tu hata mkitulipua!!
ReplyDeleteMdau wa tatu (3) hapo juu weweee kama Rwanda wangekuwa na ubavu wa kuweka mkononi Tanzania siku nyingi wangelifanya hilo!
ReplyDeleteUliona juzi tu majeshi ya Serikali Congo DRC yaliwekwa mkononi na JWTZ yalipoingia TZ na vifaa vya kufa mtu kwa kuwasaka waasi?
Jamaa Askari wa Congo DRC juzi tu wamesamehwa wamerudishwa kwao!.
Rwanda wanaimezea mate Tanzania sana, ila wanashindwa Mtusi ana uchu wa mali kama Myahudi wa Israel usisikie!
Eeee,,,TZ tuna matatizo kiasi ktk uendeshaji wetu wa masuala yetu ya kimaisha ,wala sio shida ya kukosa rasilimali
Rwanda walidiriki kutuma majeshi kwa siri kwa Kabila DRC Congo migodini kupora madini, na juzi tu walivyobumbulukiwa kuwa uporaji uliandaliwa na Serikali ya Kigali kwa aibu wakarudisha tani 100 za madini ya Coltan mpakani kuikabidhi Serikali ya Kinshasa!.
Weweee, ile shughuli ya Mbagala April 2009 na ya Gongo la Mboto Februari 2011 ilikuwa ni milipuko ya bahati mbaya tu lakini shughuli ilikuwa pevu, watu walijifungua kabla ya siku, je ingekuwa imelengwa Rwanda, asingetoka hata mtu mmoja ,si nchi yao ingekuwa juu chini chini juu, ingegeuka vumbi la majivu?
Weweee,,, mziki wetu Kijeshi USIPIME ni mkubwa wewe, hao Rwanda kwa ukosefu wao wa rasilimali na wanavyotaka utajiri kwa uchu ingawa wana ufanisi ktk uendeshaji wa mambo yao, kama wangeweza muda mreefu wangeichukua Tanzania!
Mdau wa 3 juu nini Jeshi la Mkoa wa Rwanda?...Weee Majeshi ya DRC Congo yalivuka mpaka yakaingia TZ kuwasaka Waasi yamemezwa na mamba JWTZ juzi tu, yakatemwa na sasa wamerudiswha kwao!
ReplyDelete"Tutaandamana tu,hata mkitulipua"..uongo huo, nyinyi hua hamuandamani! Mnakaa majumbani kwenu au kwenye mabaa, huku mnawatumia wengine, lkn. tushakushtukizieni!..Umeskia lini Moshi watu wakaandamana?..Mnajidai mnapinga ufisadi kumbe pesa zote zilizoibiwa zinapelekwa huko!
ReplyDeleteMdau wa 14 hapo juu ...si umeona ktk Fisadi zote kubwa wadau walitokea Kaskazini tena mkoa wa Kilimanjaro huko huko Moshi na hela nyingi za Ufisadi zimewekezwa Moshi na Mafisadi Wachagga!
ReplyDeleteMchagga ambaye ndie CHADEMA halisi ndiye mwenye rekodi kubwa na chafu ya Ufisadi hapa Tanzania sasa mnataka kusema nini?
BONGO HAKUNA HD MPAKA LEO? WACHINA WANAFANYA NINI HUKO?
ReplyDeletePOOR SOUND, POR PIX, POOR SUMMARISATION