Umoja wa watanzania, wakenaya na waganda waishio Canberra, mji mkuu wa Australia wanayofuraha kuwatangazia watanzania, wakenya na waganda wote pamoja na marafiki zao kuwa kutakuwa na sherehe ya kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika na Jamhuri Day ya Kenya siku ya Jumamosi tarehe 10/12/2011. Sherehe hizo zitafanyika hapo:
Mahali:  Aboriginal and Torres Strait Islander Cultural Centre, Canberra –Australia 245 Lady Denman Drive Yarramundi Reach
Kuanzia sa nane mchana. Wote mnakaribishwa kwenya BBQ, dance, music na mengineyo.Tunatoa shukrani nyingi kwa Ubalozi wa Kenya nchini Australia kwa kugharamia sherehe yote.
THabari zaidi: eaca2007@gmail.com au mpigie simu Bwana Mbogo 0421 410 922

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...