MAREHEMU RUTH RAPHAEL SHEMPEMBA.
ALIZALIWA 11/04/1938 ALIFARIKI 15/12/2011
ALIZIKWA 18/12/2011 VUGA-CHONGO LUSHOTO.

Familia ya mzee Raphael Lotti Shempemba ya raskazoni Tanga,inawashukuru wote Waliojumuika nao na kuwafariji katika kipindi chote kigumu cha msiba wote wa mke,Mama,na bibi mpenzi hadi siku ya mazishi yake pale vuga.

Shukrani za pekee ziwandee madaktari wote na wauguzi wa hospitali zote alizotibiwa,Wachungaji na wanahuduma mbalimbali wa kiroho,na jumuia ya watanzania waishio Sweden Ambao wamekuwa wafariji wakubwa wa watoto na wajukuu wa marehemu waishio huko.

Mwenyenzi Mungu mwenye rehema awabariki wote.
Tunamuombea mpenzi mama yetu akae pema peponi,Amen.
Bwana ametoa,Bwana ametwaa,Jina lake lihimidiwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Poleni sana kwa msiba, mungu amlaze mahali pema mpendwa! Pole sana rafiki yangu Amani,May the Lord Bless your family and give you strength!

    ReplyDelete
  2. Mama yetu, tulikupenda ila mwenyezi mungu nae alikuwa na yake.poleni sana ndugu zangu,Dada sara,Thomas,Tino,Shema,Abraham pamoja na Tayona.

    ReplyDelete
  3. alway lovz u bb....... daima utakumbukwa na wajukuu zako
    Raphael,kimweri,ruth,loti,marry......................................................

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...