alizaliwa jan 15/1955 -alifariki 0ct 28/11-alizikwa oct 31/11,Kitangili- Mwanza
Familia ya Machibya na Luteli inawashukuru wote waliojumuika nao na kuwafariji katika kipindi chote cha msiba wa mama,mkwe na bibi mpenzi,mpaka mazishi pale Kitangili -Mwanza.
Shukrani za pekee ziwaendee wafanyakazi ya TANESCO Dodoma,wafanyakazi wa Bunge Dodoma,marafiki wa watoto wa marehemu,Tanzania, USA,UK na Holand,kanisa la Winners Dodoma na Mwanza.
Tunamuombea mama yetu mpendwa akae mahali pema peponi.Amen.Bwana ametoa,Bwana ametwaa,Jina lake lihimidiwe.



pumzika kwa amani bibi caren
ReplyDelete