Mchungaji Kiongozi wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (Glory of Christ Ministries International) Mch. Josephat Gwajima, atakuwepo Jijini London Jumatano-Tarehe 14 Disemba 2011 kwa ajili ya Mkutano wa Injili. Mkutano utaanza saa 12 jioni baada ya saa za kazi
     
            Watanzania wote waishio Jijini London, mnaombwa kuhudhuria Mkutano huu wa Injili ambapo Mchungaji Josephat Gwajima, atakuwepo kuhubiri neno la Uzima, kuombea wagonjwa, kufungua wote walioneewa na ibilisi na kuwaweka huru wale wote waliofungwa katika magereza ya Kiroho.
Uonapo Tangazo hili mfahamishe na mwenzio! Kama una ndugu, jamaa na marafiki waishio London nao pia unaweza kuwataarifu ili wapate fursa ya kukutana na Mtumishi wa Mungu, Mch. Josephat Gwajima.

Ili kuhudhuria Mkutano Huu Fuata Anuani hii:-

GLORY OF CHRIST MINISTRIES INTERNATIONAL
LANGHAM ROAD
TOTTENHAM, LONDON
N15 3RB
+44742753204
Imetolewa na :
Huduma ya Taarifa (Information Ministry) ya Glory of Christ Ministries International

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tunaomba namba ya adress basi. LANGHAM ROAD namba ngapi?
    pia namba ya simu ya pili imekosewa namba moja ina-miss.
    na pia mkutano untaaisha saa ngapi?

    ReplyDelete
  2. Watanzania wote waishio Uingereza sio wagalatia.Ingekua taarifa kwa wagalatia waihio London Uingereza ili wengine tusisome.

    ReplyDelete
  3. Mkautano utachukua jumla ya saa moja na nusu. Pia namna ya simu tumia hii hapa +447427532044

    ReplyDelete
  4. next to park view school, ukifika pale shuleni maana yake umefika, karibuni wapendwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...