Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) ,Mkoa wa Morogoro, Stella Mpanju ( aliyesimama kulia) akisoma hotuba yake ya kufungua mafunzo ya kuwajengewa uwezo watu wenye ulemavu wakutosikia ili waweze kushiriki mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa hapa nchini ( kulia aliyesimama) ni Mkalimani wa Lugha ya Alama,Bonifance Malechela.
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) ,Mkoa wa Morogoro, Stella Mpanju ( aliyekaa wa pili kulia) akiwa na baadhi ya Maofisa wa Idara hiyo wa dawati la elimu kwa umma ,kwenye picha ya pamoja na Wanachana na Viongozi wa Chama cha Viziwi (CHAVITA), Mkoa wa Morogoro wakati wa mafunzo ya kuwajengewa uwezo ili kushiriki mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa hapa nchini.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...