Kilimo cha Mananasi kimeshamiri Manyovu
Mdau Richard Minja na Mkandarasi wa Kampuni ya Chico Mr. Xu-xuan wakinunua ndizi Sokoni Manyovu
Barabara Mpya ya Kigoma -Manyovu..
Ujenzi umeanza wa stand mpya Kigoma. Wataalamu wa Halmashauri, ambapo maafisa wa World Bank na Mkandarasi wakiwa katika ukaguzi
Resident Engineer wa barabara mpya ya Kigoma- Manyovu Eng. Ngogolo akiwa na Mdau Environmentalist Richard Minja (kulia) mpakani mwa Tanzania na Burundi ambako hivi sasa mambo ni mswano
big up kigoma sasa bado grid ya taifa
ReplyDeleteAkhsante CCM!
ReplyDeleteJK kanyaga twende, ukiondoka madarakani ndo watu wataanza kukuelewa
ReplyDeletePicha ya tatu kutoka juu hawa jamaa mbona wamesimama katikati ya barabara tena kwenye kona? Au hiyo barabara haijafunguliwa?
ReplyDeleteKwa kweli hongera kwa maendeleo tunayoyaona ya Kigoma hata kama wapinga hayo watalalamika.
ReplyDeleteNilipokwenda miaka kadhaa nyuma kulikuwa na kipande tu cha barabara ya lami ambayo ilikuwa below standard. Vile vile kutoka áirport mpaka mjini utadhani unakwenda bush.
Hongereni Wataalamu,ila mnakagua eneo la ujenzi wakati hamna vifaa vya usalama? Ona wengine mmetinga mpaka kubazi,hali mkija kutukagua sie Wakandarasi wenu mnahimiza usalama kazi au nyie ni ajali-free!
ReplyDelete