Mh. Balozi Peter Kalleghe na mke wake wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watu (kati) waliokuwepo wakati Tanzania Bara inapata uhuru mwaka 1961
Hii tie kwenye picha ni tie yenye miaka 50 na walipewa siku Tazania bara ilipo pata uhuru
TIE YENYE HISTORIA IKIWA NA MNYAMA WETU WA TAIFA 'TWIGA'
Mama Balozi akiiangalia tie kwa ukaribu
Agnes Kundy pia alipata naafasi yakuiangalia tie yenye historia
Image credit: www.jestina-george.com
mbona habari yenyewe iko kipande!? Huyo ni balozi wa Tanzania nchi gani? Hao jamaa ni raia wa wapi na hiyo Tai walipewa wakiwa bongo au huko huko?
ReplyDeleteBalozi safi sana inaonekana mpo busy sana na mama balozi
ReplyDeletesijambo la kuuliza kwani tai hizo wako nazo wamarekani ?ni uko kwa malikia na huyo babu mbona asemi alikuwa nani Tanganyika !
ReplyDelete