Jinsi ya kuchangia kwa m-pesa
*150*00# kupata orodha ya huduma za m-pesa.
Hatua ya 2: Chagua 4 – Lipa Bili
Hatua ya 3: Weka namba ya kampuni – weka namba 155990
Hatua ya 4: Weka namba ya kumbukumbu – weka namba yako ya simu
Hatua ya 5: Weka kiasi – ni kuanzia Tsh 1,000 na kuendelea
Hatua ya 6: Weka namba yako ya siri
Hatua ya 7:Bonyeza 1 kwa kuhakikisha muamala na tayari utakuwa umeshachangia.



wamezoea dezo wakati wamerudi tena mabondeni, dawa ni kuwachunia maana watu wanafanya kusudi ili waonewe huruma ati wamerudi kumalizia kodi zao, wakati hata maji hayajakauka, kama si kutafuta maradhi ni kitu gani.
ReplyDelete