UCHAGUZI WA TAIFA CHAMA CHA WAPIGA PICHA/TANZANIA CAMERAPERSON ASSOCIATION-TCA ULIOFANYIKA TAREHE 21/12.2011
  1. Ibrahim Mpinga     Mwenyekiti
  2. Nsubi Mwambenja    Makamu Mwenyekiti
  3. Halid Saleh Bilal     Katibu
  4. Haji Mgwami     Mjumbe
  5. Alex Ndambala     Mjumbe
  6. Carolyne Zayumba    Mjumbe
  7. Bahati Ntundu     Mjumbe
  8. Joachim Mgidange    Mjumbe
  9. Abdalah J.Chapa    Mjumbe
  10. Abdalah Bugy     Mjumbe
  11. Wilson Makuby     Mjumbe
  12. Faraja Ngoroca     Mjumbe
Uchaguzi ulisimamiwa na Uongozi wa TAFF. Na kushuhudiwa na wanachama wa TCA.
Mweka Hazina na Katibu ni nafasi za kuteuliwa,TCA ni mojawapo ya vyama tisa vinavyounda Shirikisho la Filamu Tanzania/Tanzania Film Federation-TFFA ,Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti na Katibu wanaingia kwenye Mkutano Mkuu wa TAFF na ndio wenye haki ya kupiga kura ya kuwachagua Viongozi na wajumbe wa TAFF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...