Ankal,
Hali ya upatikanaji wa mafuta hapa mjini Songea ni tete. Jionee pichani na uwajuze wadau.
Vituo vyote vya mafuta hakuna hasahasa mafuta aina ya Petrol.
Kuna kipindi leo hii kituo maarufu cha KISUMAPAI kilikuwa kikiuza mafuta lita nne (4) tuu kwa mtu mmoja,haupati zaidi ya hapo.
mdau wa Globu ya Jamii
Songea




yoyooooo dadi, yatigenda woli?
ReplyDelete