On December 13, 2011 the United States Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt awarded USD 195,000 (approximately Tshs 320 Million) to 19 organizations, clinics and schools for self improvement projects as part of Community Grants Program. Financed by the American people through the U.S. State Department the program aims at providing direct assistance to innovative small community based projects. Pictured is Ambassador Lenhardt, Sister Annatolia Mgubike of Franciscan Sisters of Charity in Mbingu Ifakara and orphans cared at the Charity's orphanage, from left, Irene Muhenga, Angela Simba and Patrick Mbombwe after the Ambassador presented the charity with Tshs 6.8 million to build a community playground.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Acha udini wewe, mbona bado unafikira za GIZA? Jua limewaka toka nje uangalie mwanga wake. WEWE yaani mpaka leo bado una hilo akilini mwako? basi makubwa!
    Toa sasa zako kama unazo tuone, swain mkubwa wewe , ndio ninyi kila siku kujifanya waislam lakini hamtoki kwenye nyumba za viti moto na kanzu zenu nyeupe mmezivaa.
    ACHENI KUDANGANYA BINADAMU WENZENU. kama mdogo wako hana school fees kamuandikishe na yeye apewe elimu ya bure haapo kwa wanaotoa msaada huo. kashitaki SAUDIA

    ReplyDelete
  2. Wewe anonymous wa kwanza hapa juu acha ubabaishaji na uzushi. Marekani kuna watu wa dini mbali mbali, ikiwemo u-Islam, na wengi hawana dini.

    Hizi programu za wa-Marekani Tanzania zinaenda kwenye vikundi na taasisi mbali mbali, sio kufadhili u-Kristu, kama unavyodai. Kwa mfano, pesa hizi zimewezesha kukarabati msikiti wa kale wa Kizimkazi, Zanzibar.

    Vile vile, mchango huu wa wa-Marekani umewezesha kukarabati jengo la makumbusho Pemba na kuwezesha kumbukumbu nyingi kuhifadhiwa humo. Nimetembelea makumbusho hayo, na nina hakika yeyote aliyetembelea atakubali kuwa ni hazina kubwa kwa Taifa.

    Jaribu kuwa makini, usilete uzushi hapa, halafu unajificha chini ya kivuli cha anonymous. Kama wewe ni muumini wa dini, kumbuka kwamba dini inakutaka utafute na uzingatie ukweli na pia kumbuka kwamba hata kama unajificha chini ya kivuli cha anonymous, unajulikana kwa Muumba. Unaweza kutuvunga sisi wanadamu, lakini utaumbuliwa siku ya kiyama.

    ReplyDelete
  3. mdau yaani hukukosea kabisaaaa. Kabla sijasoma comments za wadau nilifikiria hilo hilo. Christians hawaoni hili kama tatizo. Ingelikuwa Dini zingine wangeambiwa magaidi. Ni majina tu yanabadilika lakini...technically...same gene..

    ReplyDelete
  4. we mjinga mbona usemi raisi muislam makamu muislam mawazili usiseme mbona hatupigi kelele toha giza lako

    ReplyDelete
  5. Black muslimDecember 14, 2011

    Wewe Mbele, ondoa upumbavu wako hapa, marekani ni nchi ya watu wa dini tofauti maana yake kitu gani? Herman Cain alisema kwamba akiwa rais hawezi kumchagua muislamu kwenye cabinet yake na hii haikuwa scandal wala nini marekani. Jee kama angesema kwamba hawezi kumchagua mkiristo kwenye cabinet yake wamarekani wangekaa kimya?

    Hapa marekani inasapoti ukiristo kwa sababu wazungu wanajua kwamba ukitaka kumtawala mwafrika kifikra, kiuchumi, na kiutamaduni mfanye kwanza awe mkiristo. Na ndiyo maana wazungu wanataka waafrika wote tuwe wakiristo. Na wanatumia strategies zao wanazoziita "mission".
    Ukweli ni kwamba mwafrika mkiristo hamuoni mzungu kama ni adui na mwafrika muislamu hata siku moja hamuamini mzungu.
    Na ndiyo maana wazungu wanataka wote tuwe wakiristo.

    Ingawa uzuri wa yote haya ni kwamba wazungu wanapotengeneza biological weapon ya kuuwa watu weusi, hawatengenezi bomu la kuuwa waislamu peke yao, bali la kuuwa weusi wote. Nilitegemea wewe Mbele kwa kiwango chako cha kielimu(profesa) uwe na uwezo wa kuelewa mambo kwa upana zaidi.
    Tazama hii link hapa chini utapata jibu.

    http://www.nairaland.com/nigeria/topic-817412.0.html

    ReplyDelete
  6. safi kabisa jamaa uliamua kubandika na picha yako hapo, na kweli umeudhika-ila tuliza boli,huyo jamaa anayejiita X hana dini na wala hana elimu ndo wale wale out of touch kina obama,wanaotaka kuturudisha kwenye ujamaa,Nyerere ulimshinda ,je itakuwa obama ? huyu naye X kakazania udini, na akipata mwanya basi ataturudisha kwenye mahakama ya ..... na kuchapwa bakora mitaani. wako baharia

    ReplyDelete
  7. Mimi hujifunza tabia ya Mbele kuwa mkweli. Ila nahisi nimeshamzidi mwalimu wangu.

    Mbele, kuna watu marekani jeshini wanajitolea katika majeshi nchi nyingine kwa misingi ya udini na kudhibiti uislamu.ili waende paradiso (kama vile mujahidina wa kikristo, au huitwa crusaders)

    Viongozi wa US wanataka kufuta madrasa duniani (ambayo ni sunday school ya waislamu), hilo si tatizo.

    Sera kristo za nchini marekani yaani huzioni pamoja na mwanga woote huo?

    Obama mwenyewe kuna ambao hawataki kumchagua wakisema ni islamu wa siri. kwani ataongoza kwa Korani hata angekuwa isilamu? si iko katiba? wanaogopa kwa sababu wao wakiongoza hutumia miongozo kadhaa ya biblia pia, ambvyo ni mbaya kufanya hivyo kwa nchi ya kisecula.

    Japo naukubali ushahidi kuwa miradi hii ni ya kusaidia watu na si dini, lakini siwezi kukupinga zaidi kuwa uprostestant wa US uko mstari wa mbele kuvuruga watu wa dini ile. data ziko wazi. lakini ajenda ni siri.

    hakuna mUS atayesema redioni kuwa wanataka kuuwa islamu woote bali utaona vitendo ambavyo ndo ushahidi wa nia ovu. hata wenyewe wanasema sasa hivi wameshindwa kupeleka NATO Syria kuhofia hilo. Na wanashindwa kuvamia IRAN kuhofia kupatikana data nyengine kwenye uchambuzi, we unatetea mtuhumiwa aliyekiri kosa?

    Ni mjinga mmoja tu Reagan aliyema, ujamaa kwisa mabaki ile isilamu. maranyingi utaona ni wale republicani ni kwa sababu ya ubaguzi unaochimbukia dinini.

    ReplyDelete
  8. Mandingo OriginalDecember 14, 2011

    Mdau wa Dec 14th; 10:17:00AM

    Achana na profesa mbele. Mbele ameajiriwa na wazungu na hakuna anayeweza kumueleza mbele kwamba mzungu ni adui, na ataendelea kuwa adui kwa mwafrika. Historia zipo, na kuna mdau hapo juu ameweka link ya ushahidi wa uadui wa wazungu dhidi ya waafrika lakini evidence kama hizi hazitoshi kumfunua macho mtu yoyote aliyelelewa kanisani. Waafrika wakiristo wanaendelea ku-"hope" kwamba kuna siku wazungu watawapenda wao "in the name of christ of nazareth".
    Ukweli ni kwamba, that will never happen.
    South Afrika wakati wa apartheid, waafrika walikuwa wakiristo na wahindi walikuwa waislamu. Lakini wazungu walikuwa wanawapendelea wahindi, na wahindi hawakusulubiwa kama walivyosulubiwa wakiristo waafrika. Na mkaburu alimwita mwafrika mkiristo "kafir".
    Mzungu hampendi mtu mweusi, na itaendelea kubakia hivyo. Dini ya kiislamu inamfanya mwafrika yoyote mweusi kuwa "suspicious" katika kila kinachofanywa na mzungu. Na wazungu wanalijua hili na ndiyo maana hawataki waafrika wawe waislamu.
    Ukiristo unamfanya mwamfrika kudhania kwamba mzungu ni ndugu. Na ndiyo maana wazungu wanataka waafrika wote tuwe wakiristo.
    Jee profesa Mbele, umewahi kujiuliza kwanini wazungu ambao hawataki kuishi pamoja na waafrika hapa duniani, lakini wazungu haohao wanataka kuishi na waafrika mbinguni? Najua hujawahi kujiuliza hili swali kwa sababu waliokufundisha jinsi ya kufikiri hawakukuruhusu kuvuka mipaka fulani katika kufikiri.

    Hiyo link hapo juu inasema kwamba research za biological weapons za kuua watu weusi peke yake zilifanyika Rhodesia (Zimbabwe). Kwa mwafrika muislamu mwenye akili atajiuliza "kwanini Rhodesia"? kwanini hawakufanyia research hizo Kansas au Newcastle? Jibu linakuja akilini, kwamba labda waliogopa kwamba mambo yakiharibika silaha za sumu zisiwadhuru wazungu and to hell with africans.

    Mtu kama wewe mbele utasema, "labda wamefanyia Rhodesia kwa utashi tuu, kwa sababu Rhodesia ilikuwa british colony".
    Na hapo ndipo utakapoona tofauti ya mwafrika muislamu na mwafrika mkiristo. Na hapo ndipo unapopata jibu kwanini wazungu wanajitahidi sana kutaka waafrika wote tuwe wakiristo.

    Wazungu wanajua madhara ya uislamu. Hata kwao marekani baada ya wamarekani weusi kuanza kuwa waislamu, na kuutumia uislamu kudai haki zao za kuishi, wamarekani weusi waacha kuogopa kifo na kuanza kudai haki yao kwa kutumia "by any means necessary".
    Wamarekani weusi hawakuanza kudai haki zao 1960s; wameanza miaka mingi sana kabla ya hapo. Wameimba sana makanisani "thou shallth overcome" lakini wazungu hawakuumizwa kichwa na hyms za thou shallth overcome. Watu weusi walipoanza kudai uhuru kama NATION OF ISLAM, ambayo ikawa inspiration ya BLACK PANTHER PARTY, matunda yake ndiyo leo hii profesa Mbele anafyonza kuku kwa mrija marekani. Hayo ndiyo madhara ya uislamu dhidi ya white supremacy.

    ReplyDelete
  9. kwanza niwaeleze uwazi. Hata ukiandika anony wakitaka kukufahamu watakufahamu tu. Hii blog inatumia satelite ya nchi za magharibi, kwa hiyo huo u-anonymous ni kujifariji tu. Hili tukae tukilijuwa. Lakini wadau sisi tuendeleze libeneke, maana no sweat no sweet, au pasipo kuumia hatuwezi kufanikiwa. Hapa nina maana kuwa lazima tuendelee kuzungumza bila kuogopa juu ya matatizo yetu na tujuwe ni nani hasa anaeyasababisha, harafu tukisharijua hilo tutaungana na kujuwa kuwa tu wamoja.
    Kauli za profesa zinatia mashaka. Marekani tunawafahamu, ukiwa na msimamo mkali au ukitumia kichwa chako wanakufelisha, wanataka, kina-yes Sir. Wamewatuma wataalamu wengi wa kiafrika waliohitimu marekani kwenda kuvuluga nchi zao, kwingine wamefanikiwa na kwingine wamekwama. Na wataendelea kufanya hivyo. Tuweni macho.
    Mungu Wabariki watoto wa TZ na Afrika.
    MICHUZI USIBANIE MAONI YANGU, ASANTE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...