Kufuatana na maafa ya mafuriko jijini Dar es Salaam, Wadau ambao kijiwe chao kiko Octa's Bar iliyoko karibu na Ubalozi wa Ufaransa (FRENCH EMBASSY) wajulikanao kama KNYGU Inv. waliguswa na janga hilo na hivyo kujikusanya ili kutoa msaa kwa wahanga hao. Katika vitu walivyovhangia ni pamoja na Nguo, Sukari, Maji, Dawa za Mbu, Sabuni za Kufulia, Sabuni za Kuogea na Mafuta ya kupikia.
Wadau hao waliwakilishwa na Richie Dillon, Adam Mkini, Joseph, Jerry,John Lukiko na Salum Rashid katikika kukabidhi msaada huo katika kituo cha Hananasif.


Safi sana wadau kwa moyo wa huruma mlioonyesha kwa wahanga wa mafuriko naamini Mwenyezi MUNGU atawazidishia.Pia nashukuru kwa niaba ya members wote wa OCTOR'S PUB ambao hatukuwepo kwa kutuwakilisha kikamifu.
ReplyDeleteAsanteni sana
BUYAMBA,S
Hongereni sana kwa michango yenu.Ni jambo la kuigwa na kila mwenye kuguswa na tukio hili
ReplyDelete