Wadau wa soka wakiwa Bush House, London wakati wa kuandaa kipindi cha Ulimwengu wa Michezo kinachorushwa na BBC. Idd Seif, Israel Saria, Isaac Mruma ( katikati) na Alex Mureithi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. BBC inafungwa ilipo kukata matumizi inahamia kijijini sasa BBC WORLD SERVICE wamekata lugha kibao sijui wabongo mtapona

    ReplyDelete
  2. wengine nasikia washakuwa mitaani

    ReplyDelete
  3. burger off, kwa hiyo kama inafungwa tatizo lako nini? watu wanahama jengo ni jambo la kawaida, aliyekwambia wabongo watapona au la nani? - hauna hata chembe ya kuwatakia wenzio mema?

    ReplyDelete
  4. Mtoa maoni wa kwanza Hovyoo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...