Mapema leo asubuhi nikiwa njiani kuelekea Buguruni,nilikutana na jamaa hawa wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki na namna hii jambo ambao haliko sawa kabisa katika taratibu za usalama barabarani na upakiaji wa abiria kwa chombo hiki.hivyo watu wa usalama barabarani kuweni makini sana na watu wa namna hii kwani likitokea la kutokea hapo ni hatari tupu (japo hatuombei litokee).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Ahhh, hawa ni vijana wa Maboda boda,,,sasa mnaona ukorofi wa Maboda boda?

    Mmekuwa watu wa visiwani na pwani kuogopa ubasha???

    Tuelewe vipi kwa mkao wa kinyume nyume,,,ndio huyo dereva wa pikipiki amekuamuru ukae hivyo kuogopa kubashiwa au nini?

    ReplyDelete
  2. Heheheh hiyo haswaa mdau wa kwanza hujakosea itakuwa ni hofu ya kubashiwa tu!,,,si unasikia maeneo yenyewe ni Ilala na Buguruni huko ndio wenyeji wa Visiwani wamejaa!!!

    ReplyDelete
  3. Ninyi Wapemba kuogopa ubasha bwana, uvunjaji huo wa sheria za barabarani kukaa kinyume nyume mfanyie huko huko Zenji,,,huku n bara Fakih kuna Sheria Mtaenda Chuo Cha Mafunzo!

    ReplyDelete
  4. Hawa jamaa wa bodaboda na abiria wao wanakufa kama sisimizi lakini hawakomi.

    ReplyDelete
  5. Wapemba nyie wa Buguruni acheni akili zenu za ki ubasha hizooo michongo hiyo ni huko kwenu Visiwani hapa ni Dari Salama!!!

    ReplyDelete
  6. tukisema baadhi ya waafrica ni wapumbavu utabisha?

    ReplyDelete
  7. hongereni vijana kumwambia david cameroon na obama kuwa hamtakubali kuchakachuliwa kisa misaada!

    ReplyDelete
  8. Mimi nafikiri hawa ni wezi, Huyu jamaa wa nyuma yuko tayari kupwakua pochi!

    ReplyDelete
  9. Ni ubunifu tu. Kwani mtu ukiwa kwenye chombo cha usafiri ni lazima ugeukie unakoelekea??? Tazama matreni, baadhi ya mabasi na hata taxi (hasa Ulaya). Ni sheria gani imevunjwa hapa??? Acheni zenu, nyie kama mna shari na Wapemba kasemeni pengine lakini msilazimishie katika hii picha.

    ReplyDelete
  10. Wazanzibari hatuogopi kubashia au kubashiwa kwiwa ani tunajuana. tunamjua nani basha na nani dege na hatuogopani kabisa!

    Wanaogopa kubashiwa ni nyinyi wabongo. Naamini dereva wa pikipiki hiyo ni mbongo na abiria huenda akawa mzanzibari na ndio maana dereva kaogopa na kumwambia alhaj akae kinyume nyume!

    ReplyDelete
  11. Wadau ubasha ndo nini,msaada please!

    ReplyDelete
  12. Mpemba amekuwa kama ana damu ya kunguni.Kila mtu ataka kumtukana na pia wanatabia za kutochagua hayo matusi.Hapa palikuwa na mjadiliano wa usalama wa barabarani,ulianzaje tena mnong'onong'o wa ubasha na umende?

    ReplyDelete
  13. Mdau hapo juu, hujui maana ya ubasha.Bless your cotton socks.Why dont you find it yourself. Go to the free online Kamusi project and download the software,install in your hard drive and you can for ever find the meanings of swhili-english-swahili words.Go to www. kamusi.org Dont forget to give them donations instead of
    Christmas presents.

    ReplyDelete
  14. But we mdau 02:18:00 am sun, muda uliotumia kuandika ungetosha kujibu maana ya kitu nilichouliza, sikuhitaji kashfa au barua it was just a short answer i was expecting it. Ndo maana umaskini hautaisha tu wabairi hadi kujibu ka swali.

    ReplyDelete
  15. ujumbe upo wazi mnachobishana ni nini?
    HAPA TOWN UMEONA EE !

    ReplyDelete
  16. Huyo jamaa hajakaa vibaya.Hakuna sheria imesema ukikaa kwenye pikipiki utazame mbele. Sheria inayojulikana ukipanda pikipiki uvae helmet. huyo jamaa ni sawasawa na mzigo, hauna mbele wala nyuma unaweza kuubeba vyovyote.

    ReplyDelete
  17. Mdau wa 12 hapo juu unaelalamika Wapemba wana damu ya kunguni!.

    Mpemba mende, basha na bazazi mkubwa kwani uongo?

    Akishindwa kabisa anakula kozi anakuwa kozimeni hata njee ya choo watu wakijisaidia anasikiliza au anaangalia TV, mpaka kutoa upepo watu wakiwa msalani Mpemba ana starehe duhh!!!

    Ndio maana kuwa mhudumu wa ndani kwa Mpemba kazi unayo, inabidi uwe kamili sana hata ukiwa Mwanaume inabidi ujipange ukipindua duhh,hata ukipitiwa na usingizi imekula kwako!

    Niliongea juzi na Wafanya kazi za vibarua vya ujenzi Mtoni kwa Azizi Ali hapa Dar walienda Pemba kikazi, walipofika Tajiri alikuwa mtu wa Dini aliwatahadharisha na wenyeji kabla, jioni wenyeji Mafundi wenzao waliwakaribisha kwa gongo ili walewe waangushe magari ili wavunjiwe mabucha yao!

    Lakini jamaa walisha pewa somo kabla wakastuka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...