MRATIBU WA POLISI AMBAYE PIA NI  MWENYEKITI WA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOA KASKAZINI UNGUJA KAMANDA HASINA RAMADHAN TAUFIQ AKITOA TATHMINI ZA VITENDO VYA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA MKOA KASKAZINI UNGUJA MWAKA 2010/2011.
 MRATIBU WA SHIRIKA LA ACTION AID  ZANZIBAR BIBI KHADIJA ALI JUMA AKITOA SALAMU KATIKA MAADHIMISHO YA  SIKU 16 ZA HARAKATI ZA KUPINGA UNYANYASAJI WA MWANAMKE DUNIANI YALIYOFANYIKA MKOKOTONI MKOA KASKAZINI UNGUJA.
SHIRIKA LA ACTION NI MSHIRIKA MKUU WA JAMII YA WANAWAKE KATIKA KUSAIDIA KUWAJENGEA UWEZO WA KUJIAMINI KATIKA HARAKATI ZAO NDANI YA JAMII.
MAANDAMANO YA AMANI YA JUMUIYA YA WANAWAKE WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA YAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI. MAANDAMANO HAYO NI MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA HARAKATI ZA KUPINGA UNYANYASAJI WA MWANAMKE DUNIANI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nanyi wa bara amkeni muwe kama hawa.

    Kupata haki, ajira, kupanda cheo, nafasi ya masomo, kufaulu mtihani, matibabu, kushinda kesi mahakamani, vyote ni haki yenu, na hamtakiwi kutoa ngono kupata haki zenu zoote.

    Badilikeni woote muwe mfano. Msikubali kunyanyanswa maumbile kwa gharama nafuu.


    Na hili liwe katibani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...