Afisa habari na matukio wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel Bi Veronica Thomas Simu aina ya Samsung GT-E2222 mara baada kuibuka mshindi wa wiki ya kwanza ya promosheni hiyo ambapo wateja mbalimbali wa Airtel wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kabambe zikiwemo simu, ipad, muda wa maongezi na pesa taslimu.
Baadhi ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel wakionyesha simu zao mara baada ya kuibuka washindi na kukabidhiwa simu hizo katika makao makuu ya Airtel Tanzania, pamoja nao pichani ni wawakilishi wa Airtel (wa kwanza kushoto) ni Afisa uhusiano Dangio Kaniki na (wa kwanza kulia) ni Prosper Mwanda Afisa masoko wa Airtel Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. uso wa miss kaniki una hali ya utulivu wa kumpooza mtu akiwa na papara, i hope na tabia zake pia ni njema.

    ReplyDelete
  2. Tabia zake ni njema na pia ni mke wa mtu anaejiheshimu sana next

    ReplyDelete
  3. mmh hamna kitu hapo wamalawi wamechezea sana alipokuwa uk tunamjua huyo bitch

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...