Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge) William Lukuvi (kulia) akizungumza na Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mohamed Aboud Mohamed,(wapili kulia) ambaye aliongozana na Ujumbe wake kutoa pole,rambirambi kwa watu waliopatwa na mahafa ya mvua Jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
Waziri Lukuvi apokea rambirambi kutoka zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...