Meneja mauzo wa Vodacom Kanda ya kaskazini Mr. Jerome Munisi akiwa na Msimamizi wa masoko Singida Wilson Maula kushoto na Meneja wa Duka la Vodacom Singida Mr. Shamsi Mohamed Kulia kabisa wakimkabidhi Hundi yenye thamani ya sh.million kumi na Moja mshindi wa promotion ya Mega promo ndugu Khamis Y Hussein katikati kutoka Singida kwenye hafla fupi iliyofanyika kwenye duka la Vodacom mkoani Singida.
Mshindi wa million kumi na moja ndugu Khamis Y Hussein kutoka Singida akiwa ameshikilia hundi yake muda mfupi baaada ya kukabidhiwa na Meneja mauzo wa kanda ya kaskazini ndugu Jerome Munisi.
Nice to c ma skulmate..wilson..jite high..1997..ni kitambo kaka...
ReplyDeleteTC