Balozi wa Tanzania nchini Misri Mhe. Mohamed Haji Hamza akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) mara alipomtembelea Spika Ofisini kwake Dar es salaam leo kwa lengo la kumuaga. Mhe. Hamza aliteuliwa na Mhe. Rais Kushikia wadhifa huo hivi karibuni na anatarajia kuripoti katika kituo chake cha kazi mapema mwezi ujao.
Balozi wa Tanzania nchini Misri Mhe. Mohamed Haji Hamza akimuaga Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) mara alipomtembelea SpikaOfisini kwake Dar es Salaam leo kwa lengo la kufanya nae mazungumzo na kumuaga. Mhe. Hamza aliteuliwa na Mhe. Rais Kushikia wadhifa huo hivi karibuni na anatarajia kuripoti katika kituo chake cha kazi mapema mwezi ujao. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Balozi Haji usikae kinyonge au unaogopa choyo na husda!!

    ReplyDelete
  2. hawa jamaa tayari bado wanaaga tu? Miezi inapita tuu kazi zimelala.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza Balozi Haji amezisoma alama za nyakati!,,,Anaogopa kwa haki ni vile katika ngazi aliyofikia sio siri baadhi ya mambo watu wanachomekeana na kuharibiana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...