Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, jijini Dar es salaam ziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT.kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.
Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT.kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wizi mtupu, "TULIPIE ADA KWA SELCOM ILI IWEJE"
    Punguzeni ufisadi jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...