Home
Unlabelled
haya shtuaa...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ndio maana mimi maisha yangu sipandi hivo vindege vya kibongo ni kutafuta umauti kwa lazima
ReplyDeleteuliona wapi ndege ikawashwa kwa kusukumwa kama trekta?
ha ha ha sema tu air tanzania.....
ReplyDeleteegypt nin hii????au oman maana ndo mitumba hiyo
ReplyDeleteKweli tumekwisha kama hali imefikia hivyi, Mimi sina la kusema zaidi ya kusubiri kuona Raia wakikimbilia nchi za jirani kwa ukata, maisha duni na njaa ya hatari. Tusubiri siku si nyingi
ReplyDeletehili litakua shirika la teknohama tu no dauti
ReplyDeleterangi ya ndege inatambulisha shirika bila utata. ajali zikitokea mnasema kasi ya MUNGU
ReplyDeletejamaa haya mambo kweli au maigizo?
ReplyDeleteHii ni ndogo sana, angalia usafiri wa watu wanaoishi Amazon forest na aina ya ndege wanayotumia. Anyway silinganishi ila ni hatari sana kwa maisha ya binadamu na usafiri wa anga kwa ujumla
ReplyDeleteHahaaaaaaaaaaaaaa uuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteSuti zao wameweka pembeni wapiga debe hao.
DU! HATARI
ReplyDeleteni betri down au iliishiwa mafuta?ningekuwa abiria ninahairisha safari hapo hapo
ReplyDeleteduh hii kali....dah ebwana kweli tutafika nana hii jamani.
ReplyDeleteAnkali,
ReplyDeleteHii kali na ndiyo fungua mwaka!
Rangi ya bluu inaashiria ni Air Ta....aka UDA Airways!!
Duh hiyo kitu inayostuliwa ardhini ikizimika kunako angani?
ReplyDeleteTyre zake zinaonyesha iyo ni ndege ndogo, so inaruhusiwa kuipiga kibega. Ila kama ni ndege kubwa hapo inashauriwa kutumia Pushback Tractors/tugs.Kia na Dar airport wanazo kibao, ila airport nyingine ndani ya bongo sina uwakika.
ReplyDelete????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
ReplyDeleteMdau wa mwisho hapo ahsante kwa kuwaelimsha watu, maana tumekaa kuponda tu vya kwetu. Taratibu za Kibega au trekta au tug machine ni za kawaida airport nyingi. Kwani ndege huwa haisogezwi kwa kuwashwa.
ReplyDeletehii ni Zanair acheni uhuni ati Air Tanzania
ReplyDeleteDuu ndo maana huwa siichi kuchungulia Kwenye blogu hii wakati mwingine unakutana na vituko
ReplyDeletenoma
ReplyDeleteKaheshe
ReplyDeleteNinavyofahamu ni kwamba ndege haiwezi kurudi nyuma bbila kusaidiwa (refer the physics behind teknolojia ya ndege), na kwamba landing gears(matairi)hayana msukumo kama gari, ila yanavutwa tu msukumo wa injini. Kwa maana hiyo inawezekana ndege hii ilipaki mahali ambapo haiwezi kutoka kwa mbele, ama alivyosema mdau mmoja hapo, inawezekana inasogezwa tu pembeni kidogo, so hakuna haja ya kuiwasha. So kuweni na amani wadau.
ReplyDeleteulaya kuna gari maalum kuivuta huko bongo hawana vifaa lakini sio kushtuliwa jamani au labda ilinasa kwenye maji
ReplyDeleteHivi ni kweli AIR tanzania ina mabenchi ndani badala ya viti?
Acheni kelele nyinyi watu wa ughaibuni maofanyakazi mcdonald. Kama utafanya kazi viwanda huko mambo ndio hayo hayo. Angalia Discovery channel kuna propgram inaitwa "ICE PILOTS" hao jamaa wanatumia madege ya tangu WWII tena wapo Canada. Usione tupo Bongo ukafikiri yanayotokea ughaibuni hatuyajui.
ReplyDeleteHii lazima ni Oman Air. Na ki usalama wa anga hii ni bomu angani
ReplyDeleteTCAA, TAA sijui wako wapi.
Mimi naona si vyema ku-criticize bila ya kujua ni sababu ipi iliyopelekea hiyo ndege kusukumwa.
ReplyDeleteWadau wengi pamoja na aliyewasilisha mada hii yaonyesha wazi kutokua na uelewa wa kutosha juu ya mambo ndege, ni vyema wakafanya uchunguzi kidogo kabla ya kukupurukia mambo na kuyatolea maamuzi. Ndege kusukumwa kwa namna hii hamna cha ajabu ingawaje pangeweza tumika aina nyingine machine kama trekta nk kuisukuma.
ReplyDeleteBora Ankal umeweka picha, maana hapa mtu angeandika tu na kulalamika hawa hawa wafanyakazi wa hili shirika wangekuja humu na kukana hili. In short, wafanyakazi TZ are incompetent, period.
ReplyDeleteDaima katika safari za ndani ya Tanzania nitatumia usafiri wa basi licha ya ajali za barabarani!
ReplyDelete''Uendeshaji na usimamizi wa kubahatisha ktk mashirika ya usafiri Tanzania''.
Kila kitu tumeshindwa ktk sekta ya usafiri, Treni tumeshindwa,Meli tumeshindwa, Bima tulishindwa sasa tunatumia za Kenya na Afrika Kusini, Kampuni ya mabasi ya mjini UDA tumeshindwa, hadi mradi wa MSAADA wa usafiri wa mabasi ya wanafunzi miaka ka 1990's tilishindwa!
Asalaleee, hivi tutaweza mashirika ya ndege? ambayo mtaji wake unategemea uhakika,wepesi, usalama na ufanisi?(RELIABILITY,CONVENIENCE-FLEXIBILITY, SAFETY AND EXCELLENCE)
Hii ndio gharama ya kuubeba ufisadi!
baada ya kusoma comments hizi nimegundua kuwa watoa maoni wengi hawajui mengi kuhusu ndege. chombo chochote cha usafiri husogezwe bila kutumia mtambo wake wakati fulani katika hali fulani, sasa nguvu gani inafaa na aina gani hilo ni suala la hali halisi wakati huo. hata huko zinakotengenezwa wakati fulani inabidi zisukumwe. pia watoa maoni hawa "wanaakili" sana kiasi ukiwaeleza kitu wanaelewa haraka bila kujiuliza maswali kama "je ndege inaweza kuwashwa kwa kushtua? je kila ndege inayosukumwa ni mbovu?" NINALOWAHAKIKISHIA NDEGE HAIWEZI KUWASHWA KWA KUSHTUA!! Bali zile ndogo sana zenye engine ndogo za pistoni zinaweza kuwashwa kwa kuzungusha proppeller (pangaboi) kwa nguvu na hii hufanywa na mtaalam na ni kitu cha kawaida kwa dharula.
ReplyDeletetanzania Njaa kali
ReplyDeleteJamani mbona ni kawaida ndege dogo kupigwa kibega, lipi la ajabu? Alafu hii ni Zanair msisingizie Air Tz
ReplyDeleteKuhamisha ndege kuna trekta maalum za kufanya kazi hiyo. Huo ni uwanja gani? Nahisi ni JNIA. Na kama hapo ndiyo Makao Makuu ya Serikali huko mikoani kukoje? Ama kweli Bongo Tumeweza, Tumethubutu na Tunasonga mbele. Mwisho ipo siku utakuta watu wanasukuma caterpillar kwani Bongo hakuna kisichowezekana.
ReplyDeletekwa kawaida ndege ikitaka kuruka inafanyiwa kurudishwa nyuma(push back)na treckta maalum,sasa yawezekana hawakuwa nalo ndo wanasukuma
ReplyDeletehii precision air
ReplyDeleteKelele babaako anayo?
ReplyDeleteFor heaven sake, this is not an ATCL aircraft! it belongs to one charter companies (small aircrat)
ReplyDeleteMnhhh madege kusukumwa kwa nguvu za ugali na uji wa muhogo ama kweli Tanzania kichaka!
ReplyDelete