Marehemu Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefariki  huko Riyadh, Saudi Arabia.
  Rais jakaya kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Aziz Sheween, Mikocheni jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Afisa huyo wa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, kilichotokea huko Riyadh, Saudi Arabia.
  Rais Kikwete akiwa na familia na waombolezaji nyumbani kwa  marehemu Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefariki huko Riyadh, Saudi Arabia.
  Rais Kikwete akiagana na familia ya marehemu ya Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefairiki  juzi huko Riyadh, Saudi Arabia.
 Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo alipofika Madale jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
 Rais Kikwete akipata maelezo alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
 Waombolezaji wakiwa Madale, nyumbani kwa hayati Balozi Mhina
 Makada wa CCM wakiwa msibani kwa marehemu Balozi Mhina
 Rais Kikwete akiagana na waombolezaji  nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
 Rais Kikwete akiwa msibani  nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, 
Balozi Athumani Mhina enzi za uhai wake. 

Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo, Khamis Dadi alisema Balozi Mhina alifariki usiku wa kuamkia jana aliokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.


Dadi alisema Mhina alikuwa akipelekwa hospitali baada ya hali yake kubadilika ghafla kutokana na maradhi ya shinikizo la damu.Alisema mwili wa marehemu, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM, umehifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo na kwamba mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho.


Dadi alisema marehemu atazikwa kijijini kwao Mnyuzi wilaya ya Korogwe mkoani Tanga na kwamba mwili wake utasafirishwa leo kwenda kijijini huko.Alisema kabla ya kusafirishwa, wakazi wa Dar es Salaam watapata fursa ya kutoa heshima za mwisho nyumbani kwake Madale, Tegeta wilayani Kinondoni.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mungu aulaze mwili wa marehemu mahali pema peponi aminaa

    ReplyDelete
  2. Pole kwa wafiwa wote yote haya ni mambo ya Mungu na sote tunaelekea huko; kwa kweli nampenda na nnaguswa sana na Rais wetu JK kwa njinsi anavyo shiriki katika shida na raha za watu bila ya kujali itikadi za kidini, uwezo na wala kisiasa. Mungu amzidishie na amwangazie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...