Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipojumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.
Fashifashi ziking'arisha anga ya kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...