Mratibu wa Misaada kutoka kikundi cha Uhamasishaji cha Konyagi,Bi Benaderta Daud(Mwenye miwani katikati) akiwa na baadhi ya nwanakikundi cha uhamasishaji cha konyaji wakigawa misaada mbalimbali ikiwemo mipira kwa waadhirika wa Mafuriko kambi ya Kigogo Mbuyuni jana Dar es Salaam
Watoto Khadija Mussa na Emmi John wakiwa wamebeba Kikapu kilicho sheheni nguo na Bidhaa nyingine ikiwa ni sehemu ya Msaada wa Kampuni ya konyagi kwa waathilika wa mafuriko katika kambi ya Kigogo Dar es Salaam jana.Konyagi walitoa Msaada wa Shiligi zaidi ya milioni 2.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...