KUMBUKUMBU KWA MAREHEMU MARAFIKI
Kwa heshima na taadhima tunapenda kuwafahamisha na kuwakaribisha katika hafla ya kuwaombea dua marafiki zetu waliofariki dunia katika kipindi cha miaka ishirini (20) hadi sasa.
Marafiki waliobaki wa iliyokuwa TAZARA Club, Kinondoni pamoja na wengine wa Leaders Club, Bamboo Club (John Fedha), Hunters, Check Point, Break Point, Rose Garden, Octa’s Pub (Ubalozi wa Ufaransa), Bakulutu, British Legeon, Railway Club Gerezani (Singa Singa) na wengineo wengi wamejumuika kufanya tendo hili la kuwakumbuka marafiki zetu siku ya Jumamosi Tarehe 14 Januari 2012 katika viwanja vya LEADERS CLUB ( KINONDONI).
Ratiba:
Marafiki na Waalikwa Kujumuika
Hotuba fupi
Dua kusomwa na Sheikh na Padri
Chakula
Mwisho wa Shughuli
Yafuatayo ni majina ya marehemu tunao wakumbuka: -
1 Ada Sykes,2 Angela Madondola,3 Balozi Mbapila,4 Ben Branco,5 Bisanga Hamidu,6 Bupe,7 Chacha Marwa Boghas,8 Charles Lyimo,9 Charles Mbandwa,10 Choggy Sly,11 Costa Teffe,12 Eddy (Inn By The Sea) Moahamed Mbarak Salim,13 Eddy Sally,14 Emanuel Rweikiza,15 Eugine Kagolo,16 Farida Masoli,17 Frank Mutani,18 Four Cash,19 Gasper Akili,20 Geofrey Dahal,21 George Mazulla,22 Haji (Tanga),23 Hamphrey Akena,24 Hilda (Naomba 100),25 Ippy Malechela,26 Jimmy Mahimbo,27 Joshua International
28 Juma Ngida,29 Kalio,30 Karuhinda,31 Kasheba,32 Kimambi,33 Kimambo NCCR,34 Levis (G8),35 Majuto Tazara,36 Manfred Kapinga,37 Mangappy,38 Mariam Donna Summer,39 Mavalla,40 Mbiku
41 Mfanga,42 Mike Maro,43 Mine,44 Mr. Emanuel Mbando,45 Mr. Labarny,46 Mussa Ngoda,47 Mzee Assey,48 Mzee Bashwan,49 Mzee Joseph,50 Mzee Khatib Siraji,51 Mzee Mujaya,52 Mzee Mushi
53 Mzee Samuel,54 Mzee Shetta,55 Mzee Soud,56 Mzee Tegissa,57 Mzee Yusuf Mandevu,58 Nassor Malocho,59 Ndealle Makere,60 Ng'itu,61 Nusura,62 Omary Sykes,63 Omary Urembo,64 Othman Maraha
65 Othman Matusi,66 Othman Rungu (Matai),67 Pettie,68 PJ (Paul Mdachi),69 Rajab Mwajasho,70 Ramadhan Majungu,71 Ray Abdu,72 Rhoda Mbandwa,73 Rose Hosea (Mwajasho),74 Royal (Dotto)
75 Royal (Kulwa),76 Rukia Mwajasho,77 Saad Suleiman (Tazara),78 Saidi Machupi,79 Sanga
80 Shaaban Satto,81 Shaan Aspro,82 Super Mafuru,83 Tecla (TAZARA CLUB Staff),84 Temu Tuffe
85 Tina Mzena,86 Tomito,87 Winston,88 Zaki Aman,89 Zumu,90 Swetu Fundikira,91 Mfinanga (G8),92 Saidi Bahamari,93 Titus Sam Kamata,94 Azaria,95 Engineer Ulimali,96 Asha Yanga,97 Mr. Mbando
MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOTANGULIA
“AMEN”


haya majina ya machupi, matusi, nk....
ReplyDeletePoleni sana jamani.
ReplyDeleteR.I.P-Amen
David V.
Mbona humo sijaona majina kama Eddy Sheggy,Dk Remmy Ongara, Jerry Nashon Dudumizi,Andy Swebe Ambasador,Kasaloo Kyanga,Abuu Semuhando, tena alikuwepo last year mlivyo fanya dua hiyo, Said Mwamba Kizota,Hamis Thobias Gaga,Nico Bambaga,Mr Ebbo, na mzee Kipara? Au hao sio marehem?mmeamua kutoa list basi angalau watu maarufu tulio wapoteza wangekua mstari wa mbele pia.Hili ni wazo langu tu. Mdau marehem mtarajiwa London Uk.
ReplyDeleteHIo ni list ya walevi, na malaya,na mafisadi waliokuwa wakitamba miaka hio ya TAZARA CLUB,Conteiner bar kinondoni , Kwa macheni Magomeni. Delux Bar, wakati wa mayenu yamepamba moto lakini wako wengi tu. Mungu awalaze mahala pema peponi-
ReplyDeletembona mateja ya kinondoni ni wengi tu hawakutajwa au wao walikuwa sio muhimu?
HEE KWELI MDAU MAREHEMU MTARAJIWA UNA KUMBUKUMBU NZURI,MIMI NIMESOMA HAPO KATIKA MAJINA SIJAMUONA MASIKINI RAFIKI YANGU MPENDWA DJ KIMM,TENA WA HAPO HAPO DAR CENTRE,SASA SIJUI HUYO ALOKUWAA AKIORODHESHA MAJINI NI WA AKALE!,,MPAKA WALOTUTOKA JUZI JUZI HAWAJUI,,,ANYWAY,,KILA NIKISWALI SIWASAHAU NINAOWAKUMBUKA NA HUYO ABDUL HAKEEM A.KA.DJ KIMM..
ReplyDeleteMWENYEZI MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI,,PLEASE MSINYWE POMBE HUKO MTAKAKOJUMUIKA KWA DUAH!
INNA LILLAH WAIYNNA ILLEYHU LAJU'UN!
AHLAM....UK
sawasawa marehemu mtarajiwa wa london..kuna kina makochela a.k.a makojozi, dr.omar juma abedi simba,mzee pwagu,mzee kulimba,jk nyerere,kigoma ali malima,sheikh nurdin,mzee chamwile, sekondo,
ReplyDeletemungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi ameen.
marehemu wa badae.uholanzi
Mentioning names is a joke! guys we lost alot of people.
ReplyDeleteThere is no indispensable person under the sun....to be honest mentioning them is crap....!! let's join our hands and pray for all our beloved who the evil accident of time has catched them.
Katika shughuli watu hughafilika na kusahau baadhi ya majina, na ikumbukwe wamesema watu waliokua klabu ghani; sio wakati wa kushutumu au kukosoa. Tuwaombee huko waliko walale mahala pema
ReplyDeleteWasomaji wenzangu wa Globu wa Jamii. Kukandiana haifai jamani.
ReplyDeleteHao walikuwa members wa Leaders Club. Mtindo huo huwa wanaufanya kila mwaka. Hivyo tusiwaaingilie jamani.
Inawezekana kabisa hao ndio waanzilishi na wanachama hai. Tusiiingilie utaratibu wao.
Mama G.
Ushuzi mtupu huu kwanza mnayenu ajenda za kimalaya tu ndo mnataka kuendesha hapo leaders club mbona marehemu ni wengi sana???! Jamani binaadam tunabaguana hata tungali wafu je kama bado tunaishi kuna upendo wa kweli miongoni mwetu!?
ReplyDeleteIli kupata rehema za mwenyezi Mungu acheni kutaja majina kibaguzi ombeeni marehemu wote.
maongezea majina mawili ya aliokuwa wanachama wa Leaders club Marehemu Pius Boy na Marehemu Fauzi Mugalula mtakumbuka mchezaji wa timu ya leaders
ReplyDeleteMarehemu Pius Boy alikuwa mfanyakazi wa Atc na Marehemu Fauzi Mgalula mchezaji wa timu ya miguu ya leaders RIP Amina
ReplyDeleteJamani mbona msg iko kwa walio kwenye hizo club.
ReplyDeleteRIP jamani hivi hamuoni aibu kuleta kashafa kwa jambo kama hili ? mawtu wengine mmeumbwaje , arrrrrggggg
ReplyDeleteMola awalaze marehemu mahali pema peponi.Ni uamuzi mzuri sana kwa kuwakumbuka ngugu na marafiki wetu.
ReplyDeleteis there something about that Leaders Club kwamba members wake wanaondoka namna hiyo. inabidi kuita watu wa Mungu kuombea hii sehemu, au na nyie mliobaki mtakuwa mkiondoka ktk hali zisizoeleweka
ReplyDeleteBinadamu ni watu wa ajabu sana, wewe kama unakumbuka mtu aliyeluwa member kati ya club moja sema. Sio kuandika hao wote walikuwa malaya na wanzinzi. Wote wanaokuwa wanachama ktk club ni wanzinzi na makaya? Ebu jaribuni kufunguka sio mnakurupuka tu. Kuwaombea marafiki na ndugu ni jambo zuri sana. Mungu azilazr roho za marehemu wote mahali pema peponi, awapunguzie adhabu ya kaburi.
ReplyDeleteMrs Hambis