Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi lililopo eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakati akimuelekeza baadhi ya maeneo muhimu yaliyo ndani ya Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi, wakati wa uzinduzi wa jengo hilo uliofanyika jana , eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi uliofanyika jana, eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Huyo polisi wa kike juu kanifanya nitamani kazi ya upolisi ghafla.Afande Mwema naomba kazi ya upolisi na ukinipa naomba unipangie kituo cha kazi Pemba.
ReplyDeleteUbaya hauna kwao, wala hauna kabila!
ReplyDeletePana wimbi la Majambazi wa Kipemba mpaka huku Tanzania Bara, isichukuliwe ile historia ya wema na upole kwa watu wa huko ikawa kigezo!
HAPO HAPO IMEKAA VIZURI, USALAMA WA POLISI NI MUHIMU!
We Anonymous wa kwanza Fri Jan 06, 05:11:00 PM 2012
ReplyDeleteAcha Ubasha, Umende na Ubazazi wako!,
Ohhh naomba kazi, Ohhh naomba nipangiwe kituo cha kazi Pemba!
Kulaaleki,,,Dowezi wewe utapangiwa Mabwe Pande njia ya Bagamoyo kambi ya Waathirika wa Mafuriko ya Jangwani!
Ungeuliza kwanza Afande wa Kike yawezekana ana mume, utauweza mziki wa mumewe Mpemba?
Nadhani polisi kuvaa tai si jambo la usalama kwao. Mhalifu anaweza kukusulubu kwa tai yako mwenyewe, labda iwe ya kupachika kwa juu (japo nayo inaweza kumpa mtaji kiaina).
ReplyDeleteMnaona Kenya jinsi wahalifu (hadi madereva tu) wanavyozichapa na polisi wakikamatwa? Nenda YouTube uone.
loh huyu dada mzuri
ReplyDeleteVP's sunglasses makes him look like a bigtime pimp!!
ReplyDeleteMdau wa Fri Jan 06, 07:59:00 PM 2012
ReplyDeletelol huyu dada mzuri
Ohooo Mumewe Mpemba, ukifanya mchezo utaamriwa kuchagua mawili 1.ugandamizwe nalo lote lote tena kwa staili ya rivasi au 2. usomewe kitabu?
Ukikutwa shauli zako!
Utaukwaa kwa tabia hizo
ReplyDeleteWewe uliyesema...lol huyu dada mzuri ,huogopi kudhaminiwa na mtandao wa tiGO?
ReplyDeleteOhhooooo Pemba hiyo vya wenyewe haviliwi burebure!
pemba hiyo baba wacheni ubasha mtakuja kuumizwa mtapigwa kitabu cha kichwa mgeuke wendawzimu wa kushinda chooni
ReplyDeletehuyo aliesema kuvaa tai ni hatari kwa usalama wa polisi tai za polisi au securiti zinakuwa hazifungwi zinakuwa na vibanio yani ukivuta inatoka tu
yakheeee polisi wa kwetu wanapendeza yakhee sio wa huko bara sura kama wamekula ndimu hahaha polisi wa kike wana vigimbi kwenye miguu
khaa we wa kugandamizwa nalo lote unavituko jamani. lol lol lol
ReplyDelete