Home
Unlabelled
Meya wa Ilala atembelea hospitali ya Amana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankali nafikiri wanaopiga hizi picha inabidi wapelekwe kozi ya maadili ya kazi zao ,sio vizuri kupiga picha za wamama wananyonyesha kama hii kisha kuweka kwenye public kwa manufaa yao ya kisiasa nk....hii sawa hata kidogo,mbona hawaweki za wake zao wananyonyesha????
ReplyDeleteAnkali naomba uwe unaangalia ni picha gani zinafaa kuweka kwenye blog na zipi hazifai!
Mdau
WEWE MDAU WA Sun Jan 01, 06:41:00 PM 2012,TATIZO HALIPO KWA MPIGAJI HUYO MAMA NDIYE GOGORO.MIJIWANAUME WOTE HAO,UMESHINDWA HATA KUJIFUNIKA KHANGA,NDIO NYINYI MUNAYEMFANYA MSTAHIKI MEYA AIETEMBELEE KILA MWEZI HIYO WODI.
ReplyDeleteHii kwa kweli ni kazi ya mpiga picha katika wodi hii wakina mama huwa wanajiachia sana hasa ukizingatie hatuwa wilizopitia katika muda wa karibu. Vi vyema mpiga picha angalie picha za kuweka katika hadhara na za ndani.
ReplyDelete@inabidi uelewe hapo yuko kwenye Wodi za kina mama,ina maana kama mama alikuwa anamnyonyesha mtoto aache kwa sasabu Jery kaingia?
ReplyDeletewapiga picha wetu hawajui maadili ya kazi zao,sio hapa tu nimeona picha za ina hii sehem tofauti ,na wakati mwingine kwenye TV ....SIO SAHIHI HATA KIDOGO....Michuzi kuruhusu hizi picha kwenye public kwa uzoefu wake ni kosa.
jamani nyie wote mnaolalamika ha mjui uchungu wa uzazi wa akinamama hawa,wametoka kuzaa bado wanaumwa hata kujeuka mtu huwezi wewe unalizia kujifunika?hii picha ni sawa kabisa.Hongereni kina mama kwa kupata new baby.
ReplyDeletesioni shida yoyote na hii picha mtoto anapohitaji kula popote namnyonyesha siogopi midomo yenu.
ReplyDelete