Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akicheza na watoto katika sherehe ya mwaka mpya aliyoiandaa nyuimbani kwake Arumeru mkoani arusha.
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akitambulisha baadhi ya waaalikwa waliosaidia kuchangia katika mfukio wa elimu wa kusomesha vijana mbalimbali nchini elimu ya sekondari hadi chuo kikuu wakati wa hafla ya mwaka mpya aliyoiandaa nyumbani kwake kijiji cha Ilikrevu  mkoani Arusha wakati wa mwaka mpya.
 Wadadazz wakiserubuka wimbo wa Suma Lee Hakunagaaaaa
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Mkewe Faraja wakikata keki  katika sherehe ya mwaka mpya waliyoiandaa nyumbani kwao Arumeru Mkoani Arusha wakati wa Mwaka mpya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. very nice mungu awazidishie upendo wenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...