Home
Unlabelled
Mifugo barabarani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani wakazi wa jijini Dar huku ni mjini sasa munakuja na mifugo kutoka vijijini ya nini?
ReplyDeleteUtashangaa Mbezi beach mtu anao mjumba mkubwa mkubwa wa thamani ya mamilioni ya shilingi lakini pembeni analo banda la ngómbe na mbuzi.
You can take the person out of the village, but not the village within the same person.
Hapo mi sioni kama kunatatizo hata kidogo, kwani nao(wanyama)si wanahaki ya kuitumia hiyo barabara kama nyie wengine, nao si ni watanzania vilevile. Tuombe tu sheria na alama za barabarani ziongezwe ilikukidhi mahitaji ya kila mtumiaji wa barabara.
ReplyDeletewewe ngugu ulitakaje?? Nyie ndio wale wale kula kulala. Au nadhani wewe ni fisadi unategemea hela za kifisadi zaid!!
ReplyDeleteKondoo, bata na treni wapo kwenye kundi moja upande wa usalama barabarani. Ukiwagonga unapata kasheshe kubwa tofauti na ukigonga kuku, mbuzi au gari.
ReplyDeleteHii ni ishara kwamba wakuja wamezidi hapa mjini kwetu.
ReplyDelete