Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu akifungua mkutano wa tathmini ya elimu kimkoa iliyofanyika wilayani namtumbo mkoani Ruvuma jana.kulia ni afisa elimu mkoa,Bi Paulina Mkonongo na kushoto katibu tawala msaidizi,Severin Tossi.
Mkuu wa wilaya ya Songea,Thomas Sabaya akichangia hoja katika mkutano wa tathmini ya elimu ya mkoa wa Ruvuma iliyofanyika wilayani Namtumbo jana, katikati ni afisa elimu mkoa,Bi Paulina Mkonongo na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu.
Afisa elimu wa mkoa wa Ruvuma,Bi Paulina Mkonongo akitoa taarifa ya ufaulu kwa wanafunzi wa darasa la saba mwaka jana katika mkutano wa tathmini ya elimu uliofanyika wilayani namtumbo mkoani humo jana.katikati ni mkuu wa mkoa huo,Mh. Said Mwambungu,Ambapo kitaifa mkoa wa Ruvuma umeshika nafasi ya 18 katika ufaulu.
Mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya ya Namtumbo-Ruvuma,Bw Mussa Zungiza akiongea wakati wa mkutano wa tathmini ya elimu mkoani Ruvuma uliofanyika jana wilayani humo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa tathmini ya elimu ya mkoa wa Ruvuma, kutoka wilaya ya namtumbo wakimsikiliza mwenyekiti wa mkutano huo ambaye ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu (hayupo pichani) mjini namtumbo jana.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii,Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Noana wengi hapa wamekaa kimkao wa posho hawako serious na kikao kabisaa. Wanatamani muda uishe wagawiwe bahasha!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...