Chupa mpya ya Serengeti  Premium Lager yenye muonekano wa Dhahabu, ikiibuka kutoka kwenye maji mara baada ya kuzinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo,huku wageni waalikwa mbalimbali wakilishuhudia tukio hilo.
Mgeni rasmi,Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari,mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika usiku wa kuamkia leo,jijini Dar na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.
 Cheeersss....!Picha zaidi Bofya Hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Why is alcohol promoted so much in Tanzania, every day there is a new brand in the market, sponsoring sport etc, something needs to be done about this, alcohol abuse etc is a huge cost to the community. These alcohol companies should be paying for the upgrades and construction of new hospitals and medical facilities

    ReplyDelete
  2. Jamani hakuna wa kumwambia Mama Mapunjo kuwa hizo kamba kwenye miwani hazimpi muonekano unaofaa? Au ni hiyo dhahabu nataka zionekane? Maana anajulikana kwa kupenda dhahabu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...