Kuna wadau wameomba kuiona tena taswira hii maridhwa niliyoinasa November 23, 2005 ufukwe wa Kigamboni. Naomba kuwasilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hao ngamia wamewatoa wapi?

    ReplyDelete
  2. wapo sana mbuga zote za wanyama bongo kuna ngamia wasio kuwa bna idadi. Hata Coco beach wao wengi tu

    ReplyDelete
  3. Uharibifu wa mazingira ! yaani ng'ombe pwani ? halafu watu wakaoge wapi?

    ReplyDelete
  4. sio mbaya hao ngo'mbe wakienda haja hapo samaki atapata chakula haya ni maisha ya kutegemeana, pia na sisi tutapata kuwala hao samaki.

    ReplyDelete
  5. Wala si uharibifu wa mazingira maana ng'ombe si wengi kiasi hicho, halafu huwa wanapita tu, nadhani ni moja ya pwani nzuri zilizopo dar si unaona hata ktk picha jinsi palivyo pazuri? Tena nilisikia kuwa maziwa ya ng'ombe wa hivi huwa na virutubisho vingi zaidi kutokana na nyasi wanazokula karibu na bahari. Ndio uzuri wa Tz, kwamba bado upo uhalisia wa mambo.

    ReplyDelete
  6. Mh Waziri aliwaona hawa ngamia akajua wannaweza kutumika kama kivuko au ku-chubwi! - mbizi.

    ReplyDelete
  7. Ecosystem kaka. Wewe mwenyewe samaki anakumaindi. Pia wakati samaki anakumaindi wewe na ndege, ndege naye anakumaindi wewe. Ni kamchezo fulani hivi kakiasili. Ndivyo ilivyo.

    ReplyDelete
  8. Mdau wa tatu hapo juu ni kweli ngómbe hawatakiwi kuwepo katika eneo hilo hata kama wewe mdau wa tano unafikiria hivyo.

    Nadhani mdau wa tano anatoka familia ya wafugaji ndiyo maana anaona ni sawa.

    Huu ni UHARIBIFU WA HALI YA JUU WA MAZINGIRA NA IPIGWE MARUFUKU HIVI SASA KABLA YA HAWA WAFUGAJI KUONA HIYO NI HAKI YAO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...