Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mwaga ugali namwaga mboga. Ifude

    ReplyDelete
  2. Mimi namchukua na mtihani wako nashinda, kwani wewe ulikuwa wa kwanza kufundisha somo hilo, ole wako ujaribu kunichakachua paper yangu itasahihishwa mara mbili na watu wawili tofauti.

    ReplyDelete
  3. ha ha ha mambo haya bwana yanalalamikiwa sana lakini mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliopitia vyuo vya tanzania tofauti tofauti na malalamiko haya yapo sana lakini binafsi nadhani kama unajitahidi sana katika masomo na unazingatia ufaulu huwezi kugombana hata siku moja na Mhadhiri hata uwe na wapenzi chuoni atakukamata vipi na wewe ufaulu wako ni wa juu sana, lakini kama unajiingiza katika reli zao na kichwa kitupu utaona haya ni kweli yanafanywa na Wahadhiri. Mapenzi hayalazimishwi kwa style hii wewe piga kitabu freshy na hata uwe na mtoto mzuri kamwe hautakamatwa lakini kama una tegemea kudesa au kani mnyanyuo na unapenda totoz utakamatwa kweli.

    ReplyDelete
  4. Kasa meli ya sumu!, Gusa unase!

    ReplyDelete
  5. jamani kwani walimu ndio hawatamani? sasa wewe mwanafunzi badala ya kukaa shule na wewe mihanjo hata hela huna au unataka kuuza sura, hao mabibi wako viwanjani wewe mwaga tu sisi tutasuuza

    ReplyDelete
  6. Yaani wanawake wa chuo kikuu ndiyo wako hivi, nyamauchi ya muhadhili, jee hao wengine? Kama wanawake katika jamii yetu wanadhania kwamba utupu ni mtaji au nyenzo ya kimaendeleo, basi mungu atusaidie tuu.

    Tatizo la wanawake wetu ni kwamba hata anaposoma ujumbe huu unaowataka wajiheshimu na watumie uwezo wao wa kiakili na maarifa, msomaji anajipa moyo kwamba "ujumbe huu ni kweli lakini haunihusu mimi".

    Wengine wanajidanganya kwamba "sasa hivi nitautumia mwili wangu mpaka nikimaliza chuo nitaacha". Kamwe hautoacha. Ukishazoea kulowekwa ili utatuliwe matatizo yako, basi maisha yako yote ndivyo utakavyokuwa hivyo.

    Utalowekwa ili umalize chuo.

    Utalowekwa ili upate kazi.

    Utalowekwa ili upewe "promosheni"

    Utalowekwa ili upangiwe kituo cha kazi unachokipenda wewe

    Utalowekwa ili upangiwe safari na allowances nzuri za kikazi
    ,
    Ili mradi wewe utakuwa unalowekwa lowekwa na wanaume tofauti tuu maisha yako yote, hata kama umeolewa. Na watoto wako nao watakuwa wanajua kama mama ni "cha wote". Wakiwa wa kike nao watakuwa wanadhania kulowekwa ndiyo njia ya kujiendeleza basi nao watakuwa wanalowekwa tuu kama ulivyokuwa wewe mama yao.

    ReplyDelete
  7. Mdau wa 5, mambo ya vyuo ni mtafaruku mkubwa. Nakumbuka wakati ule nikiwa nasoma chuo kikuu fulani hapa hapa nchini (mwanzoni mwa 2000), kuna mademu walikuwa na mabwana hata zaidi ya wawili kisirisiri. Kwamba mmoja ni mpenzi wa kweli (ila hana hela wala akili kivile), mwingine ni kwa sababu ana mihela, mwingine ni wa 'kusoma' nae au kusaidia kuandika pepa/essay, na mwingine ni kwa sababu ni mtu wa nje ya Tanzania.

    Mimba zilikuwa zinavurugwa kila leo, na kuhusu UKIMWI sina la kusema.

    ReplyDelete
  8. Hali hii ni hatari kwa mwenendo wa taaluma wetu nchini Tanzania,,,Huku vijana Wavulana wakifelishwa kwa makusudi inatokea kuwepo Wakufunzi wanaotoa Stahili kwa minajili ya zipu za suruali zao na pia Madada wanaopata Shahada kwa tiketi ya Chupi zao!

    ReplyDelete
  9. Hahahah, hakuna anayekubali kuwa mnyonge. Kila mmoja mbabe kwa nafasi yake.

    ReplyDelete
  10. Mdau wa ''KULOWEKWA'' hapo juu Anonymous fri Jan 13, 07:44:00 PM 2012 wa maneno yako ni kweli kabisa!

    Mwanamke wa namna hiyo anakuwa amelemaa nachukulia kila kitu maishani atapata kwa kukaa mguu upande!

    ReplyDelete
  11. Ata jirahisi kwa :

    1.Kupewa vocha ya simu hat ya shs 500/= hadi Voda,tiGO,Airtel na Zantel Rusha za shs 200/=

    2.Muuza Mkaa au muuza mboga na samaki atajivinjari kiulainii!

    3.Masela wa Maskani ya karibu na nyumbani watajilapulia na wanamtoa mapaka sugu!

    4.Machinga wauza urembo wanajilia vyao!

    5.Hadi Mkata manyasi ya ngo'mbe nyumbani na Shamba boi atajilapulia!

    Inakuwa ni fedheha sana kuitwa Mume au Mwenza wa Mwanamke wa namna hiyo!

    Mwanamke wa namna hiyo akihitimu akifika Kazini au Mtaani anakuwa JAMVI LA WAGENI au JAMVI LA WENGI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...