Waziri wa Kazi na Ajira, Mhe.Gaudentia Kabaka akimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Migodini na Ujenzi (TAMICO), Bwana Hassan Ameir aliyevaa shati nyeupe wa pili upande wa kushoto kwa Mh.Waziri, anayemtazama kwa makini ni Katibu Mkuu wa TUCTA, Bw. Nicholaus Mgaya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...