Home
Unlabelled
ankal ana kwa ana na wazee wa kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal nakuona ulivyokula pamba ya kufa mtu. Vekesheni njema, Mkuu.
ReplyDeletekaribu mkuu wa libeneke naona uko ugaibuni umekuja kujionea mwenyewe jinsi gani wazee wa kazi wanavyochapa kazi,
ReplyDeleteHongera Ankal. Lakini mbona joho hilo walilokuvalisha halina tai na ni 'over size'? Ze FULANAZZZZ ile kwa ndani ndani maana baridi kibao hapo eee...
ReplyDeleteHongera Ankal kwa Zawadi, hebu niambie umeambulia mchuma au ndiyo hii suti ukatupa the fulanazzzzzzzzz.
ReplyDeleteRESPECT!
ReplyDeleteWazee wa Kazi wanatutoa kimaso maso kwa vile wanawaonyesha Wazungu na Watu wengine huko Majuu kuwa wasitegemee kila Mtanzania wanayemuona ni Mpiga MA BOX!
Wasitegemee sisi wa TZ huko Majuu ni kila siku watu wa kubebeshwa Ma box migongoni hadi tunaota sugu!
TUIGE MFANO WAO,
TUSIBAKI NA KUTOJIAMINI KWA KUPIGA MA BOX NA KUWAPA JAMAA CHEAP LABOR.
1.-FUNGUENI MATAWI YA NGO'S HUKO NA MUWEKE BONGO MAKAO MAKUU.
2.-ANDIKENI MIRADI ENDELEVU NA MPANGE MAELEKEZO YA USIMAMIZI KWA MIKATABA ISIYO CHAKACHULIKA.
3.-FANYENI TAFITI KTK SEKITA ZOTE ZA MAISHA YETU BONGO FROM ANTHROPOLOGY TO ZOOLOGY.(A-Z).
4.-MBUNI MIPANGO YA UWEKEZAJI KTK SEKITA ZETU ZOTE ZA UCHUMI.
5.-ITANGAZENI NCHI KTK SEKITA ZAKE ZOTE ZA UCHUMI KAMA ITALII, MADINI, KILIMO NA RASILIMALI ZOTE NCHINI, GAS, URANIUM, OIL PROSPECTING EXPLORATIONS.
MSITOE SABABU KUWA OHHH NYUMBANI BONGO KUNA UFISADI, NINYI MMESOMA NA PIA MMEELIMIKA KWA KUKAA NA KUJICHANGANYA NA WATU WERUVU HUKO MAJUU.
''LA MUHIMU MTAPANGA MAELEKEZO YA UTEKELEZAJI KWA SHERIA NA MIKATABA ISIYO CHAKACHULIKA'',,,COPY RIGHT REGISTRATIONS, PATENT LAWS, PSA(Partnership Sharing Agreements),EPA(Economic Partnership Agreements),MOU(Memorandum of Understanding), and so on.
HAKUNA KITU KINASHINDIKANA CHINI YA JUA KWA SHERIA NA MIKATABA MAKINI!
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE!
Hawa ndio wale wanaotaka kutuletea zile za Chibiriti "zenye vichogo?"
ReplyDeleteTehe teh tee!
aaaah kumbe ankal una share hapo serengeti na kule kwengine!
ReplyDeleteJamani hawa serengenti vipin ?? mimi niko huku Canada na vitu vingi hapa havitumii umeme wa 220 sasa nimewaandikia hawa jamaa walipelekee photocopy bongo mtumba kwa mdogo wangu lakini mpaka sasa kimya, au vipi hapa jamani , jamani mlioko uingereza hebu kamsaada haka nifanyieni , jacobmayillah@hotmail.ca
ReplyDeleteWAZEE WA KAZI.
ReplyDelete