Kiongozi wa Bendi ya Akudo Impact,Tarsis Masela (katikati) akiongea wakati wa kuwatambulisha wanamuziki wa nne wapya wa bendi hiyo kutoka nchini Congo Kinshasa leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mmoja wa waimbaji wa Bendi hiyo,Cannal Top na kushoto ni Mmoja wa waimbaji wapya wa bendi hiyo waliotambulishwa leo,Meree Yamba-kita.
Waimbaji wapya wa Bendi ya Akudo Impact wakiwa na kiongozi wao wakiimba moja ya nyimbo za bendi hiyo leo mara baada ya kutambulishwa rasmi.
Sawa lakini vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini wanavyo?Uhamiaji angalieni huku ndiko wanakoingia wangi sana isivyo halali.
ReplyDeletesidhani kama wao watakuwa wajinga wajitangaze kuingia nchini katika media wakati hawana vibali..... lazima watakuwa wanajua wanalofanya
ReplyDeleteHizi miwani wajameni kama zimezidi kimtindo.Maana wengine hawaangalii uso wake upo vipi na miwani gani itaweza kumkaa kulingana na uso wake labda ni mpana au uso wa mviringo.Kama huyo kaka picha ya pili nahisi kama miwani ya kike.
ReplyDeleteHahahaha Mdau wa hapo juu, aina za Miwani 'miwani ya kike' ama kweli imekuwa ni vaa vaa tu, watu wanavaa hadi Blauzi na T-Shirt za Kike!
ReplyDeleteAny way, kwa vile Muziki ni Sanaa inawezekana wanajua ni vya Kike lakini wanatoka Ki Sanaa ili kuvuta Muonekano tu!
Mfano Mcehzaji wa Mpira wa Kikapu wa Zamani wa timu ya Chicago Bulls ya Marekani Dennis Rodman mara zingine alikuwa anavaa Gauni la kike la Shela kama bibi Harusi!
mawani kama fundi ma-grill?
ReplyDelete