Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Baina ya wanafunzi wa sekondary na chuo kikuu?! Yaani vyuo vyetu vikuu vimefikia hapo?

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza, hii ni sawa na mpango wa kuwajengea ujasiri wanafunzi wa sekondari kupitia migongo ya makaka na madada zao wa vyuo vikuu, hivyo sio kitu kibaya. Pia itawahamasisha kutaka kusoma zaidi.

    Ila nisichopenda mimi ni utaratibu wa hiki chuo chetu kikuu kuu 'kumuabudu' Walter kuita kiasi. Kwa hadhira kama hii naamini ingependeza kubadilika kidogo na kuwaonesha filamu ya Patrice Lumumba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...