Home
Unlabelled
chekechea...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
la wanacheza na panga Rwanda nini hapa
ReplyDeleteHatari tupu
ReplyDeletelol itakuwa tarime tu hapo....
ReplyDeleteJamani, tunawafundisha nini watoto wetu? This is sad!! This is only in Africa. Us, subutu... wazazi na mtoto wao wangekuwa jela haraka mno. Poor kids! God please protect them.
ReplyDeleteKudadadeki..Huyo aloshika mranga yuko serious ile mbaya..hahahah dogo noma.
ReplyDeleteHii itakua Tarime Musoma au Mbeya kwa Wachuna Ngozi..hahahaha
Jamani,,mtoto ni mdogomno hata panga linamzidi umri,,Hii ni hatari sana
ReplyDeleteHiyo ndio hali halisi ya watoto wetu, wadogo zetu, taifa lijalo kukosa viwanja vya kucheza, na vibozo vya kuchezea. Hatimae kuishia kuchukua panga na kuwaeka wenzake "hendzi apu", inaonyesha fikra anazoanza kujenga mwana kuanzia utotoni.
ReplyDeleteHivi ndio haswa mazingira tunayoishi yanavyoathiri viumbe hawa wa kesho. Je Afrika tutafika? Hivi kwanza tunajua tunaelekea wapi? Inauma sana na mimi naona zaidi ya kuburuzwaburuzwa, kwenda kama basikeli ya mbao inayosubiri mteremko, hatuna jipya zaidi ya kunyanyasika tu!!!
Siyo mbaya ni taifa tunalowarithisha wajukuu zetu kwani baba zao hutenda hayo mbele zao!na pili ndiyo madhila ya utandawazi jamaa zangu kwani huko ndiko kuyashangaa ya firauni!
ReplyDeleteHiki ndicho kizazi kijacho! Hawa wakikuwa huwaambii kitu. Mambo ya mwalimu alisema hawatasikiliza.
ReplyDeleteWe ule mali ya umma halafu tukikuuliza unadai eti nchi ina amani!! Hendz up!!!
tena alie na panga ni mdogo kuliko hao wengine. Hapo sio tarime, tarime wanatumia sime na mishale. hapo ni moshi tu! ndio wanaenda na mapanga kukata ndizi mgombani... napenda sana half cast wa tarime na moshi... du... usiombe!
ReplyDeleteMalezi ya Utotoni,
ReplyDeleteMtoto kama huyu (Aliyebeba Panga mbele) asipowekwa katika Malezi elekezi anaweza kuwa zao la aina ya Kiongozi Dikteta!
HAYA NDIYO MADHARA YA KUWA NA TV NAKUWAACHA WATOTO WAANGALIE KILA KITU WANACHOPENDA,NI VIZURI TUKAWA WAANGALIFU NA KILE WATOTO WETU WANACHOKIANGALIA KWENYE TV,TUFIKIRIE WATAJIFUNZA NINI NA NIYAPI MADHARA YAKE
ReplyDeleteNi Somalia. Mazoezi ya hawali ya Al-Shabab.
ReplyDeleteSafi kabisa tunataka watoto kama hawa wawe viongozi wetu maana kama unachukua au kutoa hongo na kuhujuma mali ya umma, hapo panga lazima lipite sio viongozi kusema msichangua au kuwa kura wanaotumia pesa.. je inakuwaje wapate nafasi kwenye sehemu muhimu wakati ndio nyie viongozi wa sasa mliwacha na pia mkawapendekeza na kuwatuhuam kwenye hizo nafasi ili sisis wananchi tuwape kura, Mwalimu Nyerere waliwajua mapema na hakafanya juu na chini wasipewe nafasi hizo. je wewe kama JK au Pinda unawajua hao watu kwa nini msiwafunguze kwenye chama na sio kuja kwenye vyombo vya habari kusema mambo ka haya na kama unamjua sema ? au lako mmoja.
ReplyDeleteAnaweza kuwakata kweli, si akili za kitoto anapoona kwa TV anafikiri ni mchezo
ReplyDeleteSIO SIRI DAMU IMENIZIZIMA. lAHAULLAH, CHONDE CHONDE WAZAZI, HAYO SOMALEZI.
ReplyDeleteHAPO KA SI RORYA PIGA UA NI UTEGI AMA KYARUBHA (WAO WAKITAMKA CUBA).