Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Khamis Kiiza akishangilia goli lake la kwanza alilolipachika dakika ya 36 ya mchezo huo dhidi ya Zamalek ya Misri kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Khamis Kiiza akishangilia na Mashabiki wa Yanga mara baada ya kufunga goli la kwanza.
ubao unavyosomeka.
Beki wa Yanga,Nadir Haroub Canavaro akichuana vikali na Mshambuliaji wa Zamalek,Omotoyosi Razack.
Hatati langoni mwa timu ya Zamalek.
1-1
ReplyDeleteYanga hongereni kwa ushindi maana nyie kutoa sare na waarabu ni sawa na kushinda.
ReplyDelete