Home
Unlabelled
Daladalashow: Sifa za Urais 2015 kwa maoni ya wananchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WATANZANIA WENGI HAWAJUI KUJIELEZA, NAHILO NITATIZO KUBWA SANA,DALADALA SHOW IS GOOD, BUT WATU WANAOTOA MAONI YAO KUJIELEZA HAWAJUI, ,
ReplyDeleteASANTE
kAZI IPO! Tupo katika 2012, na mafisadi wameshaanza kuhonga urais utafikiria kama vile ndo tupo 2015 Januari. Haki ya nani, mi nawaomba wote wanaojitokeza kuhonga kwa sasa, kuleni hela zao na msiwape kula hawana maana. Maana miaka minne ni mingi mno kwa kubadilisha mwelekeo wa nchi na huwezi kujua sifa za rais wa 2015 leo! Haki ya nani, mi nauchungu na nchi hii na Watanzania kuleni pesa mafisadi hawa halafu msiwape kura!
ReplyDeleteWatanzania tuache kufuata ujinga wa wanasiasa!!!! Kwanini hawa wanasiasa watuchanganye kila baada ya muda mfupi? Hivi hakuna kitu cha kufanya kuboresha maisha ya mtanzania hadi mwaka 2015? Wanasiasa TUONEENI HURUMA watanzania wenzenu. Hii ni nchi yetu sote!!!!!!!
ReplyDeleteakili kama hizi watatawaliwa hadi kiyamaa. hawa wanaotoa maelewa wangekuwa wanajuwa serekali za kidunia vipi zinaendeshwa wasingesema wanayosma. Mungu awafungue macho waone ukweli na wazinguke kutoka kwenye giza.
ReplyDeleteDikteta maana yake we anaamsha watu kwa fimbo!!
ReplyDeleteHayo ndo maoni tunataka kuyasikia. Maoni kutoka kwa watu wakawaida pamoja na shida zao za kujieleza. Tumeshasikia mengi kutoka kwa wataalamu wanaojua kujieleza, wenye kufanya tafiti-ni muhimu kupata maoni ya wanachi wa kawaida sasa ili tuweze kuchambua tuko wapi. Kipindi na mada hii ni nzuri, na nawapongeza waandaaji. Muendelee kuleta mada zinazohusu mustakabali wa taifa letu.
ReplyDeleteWatu bwana!!! Huyu bwana anasema hawajui kujieleza anataka waseme nini au yeye alitegemea wasemeje.Basi kapande daladala tuklusikie.
ReplyDeleteKitu gani hakieleweki au wewe ndo unamatatizo ya kuelewa!Mimi naona wamejieleza kwa kiasi cha kutosha kutoa dukuduku lao.Endeleeni kujadili na kipindi ni kizuri sana.
Hongera waandaji.
Jamani aliyebuni kipindi hiki anastahili pongezi,kwa hiyo watu wanaweza kutoa maoni yao bila kujali huyu ni mwananchi wa namna gani,kila mtu hapo anasikika,sijui ni cha TV au katika blog tu humu,,Nimefurahi sana kumuona Bi kiroboto,,ee siku hizi uko juuuu!!,,umekuwa mwana siasa na wewe?
ReplyDeleteMdau hapo juu unasema wananchi hawawezi kujieleza mbona wanajieleza vizuri tu,wanaeleweka,sio kila mtu kajaliwa kujieleza vizuri.lakini ili mladi kaeleweka,,na inaonyesha kuwa watu wamechoka kuambiwa uongo,na ubinafsi Tanzania umekithiri,,utafikiri nchi ni ya viongozi tu mwananchi wa kawaida hana haki,,na siku zinazidi kwenda,mtu toka kijana mpaka anakuwa mzee,anakisomo chake na akili zake timamu lakini ananyimwa haki yake kwa kuwa hana urafiki au undugu na kiongozi wa ngazi za juu.Ahadi kwa kweli zimetolewa kwa wazalendo bila hata kuwatimizia mapaka mtu anazeeka au kufariki akisubiri ahadi,,hayo mafuta mliyosema,Nyumba za NHC raisi aliwatamkia watu kuwa sasa wamekaa miaka mingi sasa wauziwe,na wenye roho za kwa nini wakasitisha swala hilo,,bila hata kufiria wananchiwatamuelewaje Muheshimiwa Raisi wao.
Tuzidi Kumuomba Mungu uenda atatuepusha balaa la viongozi wenye roho za kwa nini katika uchaguzi wa 2015!
Ahlam,,UK
wewe mchangiaji wa kwanza unasema watanzania hatuwezi kujieleza sasa si ndo apo pa kujieleza ww watu wakaiga mfano wko hacha unafika ww
ReplyDeleteKAZI NZURI, ASANTENI WOTE.
ReplyDelete