Baadhi ya wajumbe waliohudhuria wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Co organizers wa Ifunda Tech Re-Union Day Benson Magehema akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa kuwa na umoja wa wana Ifunda Tech na Donnasian Lugakiza Ishenda(mwenye miwani) na wajumbe wengine wakisikiliza kwa makini
Wajumbe wakisikiliza kwa makini mjadala wa kujenga umoja imara na wenye nguvu.
Paul Kassanga akisisitiza jambo huku wakongwe Dionis Rugai na Theophil Nangusu na wengine wakisiliza.
Hapa wakiienzi shule yao kwa kuimba wimbo wa shule, Ifunda the glorious.
welldone my met ben, i was very much interested to attend the day but i didnt due to unforeseen cercamstances which made me not to attend, the distance being one of them.however i beleave every thing went right and i wish to know when is the next event
ReplyDeletergds
eng. hsm
aaah imenikumbusha mbali sana,ni mwanzo mzuri,keep it up.aah wazee wa Lyande,na mahindi ya vinyunguni,vizibo jee,achilia mbali kuuzoa na beche la mama sabi yanga.siku hazigandi.
ReplyDeletetatizo walikula saa gambe.
ReplyDelete