Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi saba za Afrika leo February 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mawaziri wa kilimo wa nchi saba za Afrika baada ya kufungua mkutano leo February 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam. Nyuma ya Rais Kikwete ni kamishna wa Maendeleo vijijni na Kilimo wa Umoja wa Afrika,Bi Rhoda Tumussime.PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...