Uongozi Uliomaliza muda wake na Uongozi Mpya wa Jumuiya ya Watanzania Chuo cha Kimataifa cha Kimarekani katika picha ya pamoja; Walioketi mbele ni Glen Kapya (Watatu kutoka Kulia, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake), Raymond Maro (Wapili kutoka Kulia, Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake), Happy Maturo (Wa Mwisho kulia, Mweka Hazina aliyemaliza muda wake), Esther Lugoe (Wanne kutoka Kushoto, Mwenyekiti Mpya), Benson Mengi (Watatu kutoka Kushoto, Makamu Mwenyekiti Mpya), Nabil Omar (Wapili kutoka kulia, Katibu Mkuu Mpya) na Marx Rugaimukamu (Wa Mwisho kushoto, Mweka Hazina Mpya). Mstari wa nyuma ni Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Utendaji ya Iliyomaliza Muda wake na Mpya.
Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya, Bi. Esther Lugoe akishukuru Wanajumuiya kwa kumchagua kama Mwenyekiti Mpya.
Makamu Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya, Bw. Benson Mengi akishukuru Wanajumuiya kwa kumchagua.
Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake akisoma Ripoti ya Kiutendaji mwaka 2011-2012 ya Uongozi wa Jumuiya uliomaliza muda wake.
Wanajumuiya wakifuatilia kwa makini Zoezi zima la Kuchagua Viongozi wapya wa Jumuiya.
Wanajumuiya wakifurahia na kuwapongeza Viongozi wapya wa Jumuiya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...