Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Ramadhan Khijjah akifungua mkutano wa siku tatu wa wakaguzi wa ndani wa Sekretarieti za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa wenye lengo kuwaelimisha juu ya marekebisho ya Sheria ya Fedha Sura 348 ya juni 2010 yaliyopelekea Wizara ya Fedha kuanzisha Idara ya Mkaguzi wa Ndani wa Serikali (Internal Auditor General Division) ambayo pia inajukumu la kusimamia na kuboresha ukaguzi wa ndani kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa na Sekrietarieti za Mikoa.
Baadhi ya wakaguzi wa ndani wa Sekretarieti za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa wakiwa katika mkutano wa siku tatu wenye lengo kuwaelimisha juu ya marekebisho ya Sheria ya Fedha Sura 348 ya juni 2010 yaliyopelekea Wizara ya Fedha kuanzisha Idara ya Mkaguzi wa Ndani wa Serikali(Internal Auditor General Division) ambayo pia inajukumu la kusimamia na kuboresha ukaguzi wa ndani kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa na Sekrietarieti za Mikoa ulianza leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah na baadhi ya wakaguzi wa ndani wa Sekretarieti za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa baada ya ufunguaji wa mkutano wa siku tatu wenye lengo kuwaelimisha juu ya marekebisho ya Sheria ya Fedha Sura 348 ya juni 2010 yaliyopelekea Wizara ya Fedha kuanzisha Idara ya Mkaguzi wa Ndani wa Serikali(Internal Auditor General Division) ambayo pia inajukumu kusimamia na kuboresha ukaguzi wa ndani kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa na Sekrietarieti za Mikoa ulianza leo jijini Dar es salaam.Picha na Tiganya Vincent, Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...