Home
Unlabelled
kibonzo cha Nathan Mpangala leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I was wondering about the same... Mgomo umekwisha ndiyo, lakini hakuna hata mmoja anayesema juu ya hao waliokufa kutokana na uzembe huu! Hivi ni haki kweli?!!!
ReplyDeletemnh hii kweli kali,dokta kapewa haki yake,vittim wa circumstance je?
ReplyDeleteKila mtu anakufa kwa ahadi yake. Wacheni mambo ya utani hayana maana katika mambo ya ahadi ya Mwenye enzi Mungu. Mwenye jukumu ya kuutunza uhai ndio muuwaji. Elfu kumi au Mshahara wa milioni 3 sawasawa na roho ya binadamu basi na sisi tugome tuone madaktari watapata wapi hiyo mishahara. Hawazalishi chochote pale ila ni kutunza uhai wa binadamu na kodi zetu ndio mishahara yao. Sisi tunauchungu kuliko nyinyi wanaharakati mnaokula pesa za wahisani.
ReplyDeleteTooooba!!!
ReplyDeleteWaliokufa ni uzembe wa serikali kutojali maslahi ya watu wake. Serikali inapaswa iwajibishwe.
ReplyDeletesasa mnataka madaitari wafanye nini kama watu wamekufa? hawawana uwezo wa kuwafufua kaeni kimya, kufa kufaana!
ReplyDeleteNa nyie wachora cartoon hamna dogo madaktari hawajauwa mtu yeyote acheni mbwembwe zenu. Namuunga mkono Annonymous hapo juu. Kama kufa umepangia ni utakufa tu mgomo ama bila mgomo. Get a life.
ReplyDeletetuwe wakweli jamani tuongee kutoka moyoni mahusiano kati ya walikokuwa kwenye mgomo na ndugu waliopoteza/kuguswa na watu waliokufa kutokana na mgomo yakoje
ReplyDelete